Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

Unawaona Walokole Wametekwa Na Muhubiri. Je hujuioni wewe Mwenyewe Umetekwa ila Kwa Njia za Upole. Mimi ni RC pia ila Kujivunia Bila RC ku affect maisha Yangu Moja Kwa Moja Sioni Umuhimu wake. Tumepotea Wote hakuna Mwenye uAfadhali wowote. RC wanamiliki maeneo kibao,Vyuo, Mahospitali n.k wakati Waumini wake pia ni Masikini wanarudi Nyumbani Bila Chochote

Utasema Bora hao wanatoa huduma. Ila Hizo huduma hazijalishi ww ni Muumini au si Muumini unatoa Kama Vile ni Mpagani tu wa Kawaida unatafuta Huduma
Non-sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani

Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa

Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
Kuna mantik fulan unaikosa..sasa sjui rarrni uelewa...?
Kiongoz wa katolik.hana mke hana watoto hana nyumba binafsi yenye jina lake hana gar binafsi lenye jina lake..michango yote na sadaka havipit mikonon mwake ..hamilik mali yoyote..kaz yake ni kuongoza watu shugul za kiroho kwahyo anatunzwa na watu waliompa kaz hyo

Walokole wao..mtume na nabii..ana mke na watoto..ana nyumba binafsi..gar binafsi yote yana majina yake..wengi wana ukwasi uliotukuka...management nzima ya kanisa ni circle yake ya watu wake ambao hawahoji chochote sabab kanisa ni lake na ameanzisha yeye..wengne hadi wana brag mitandaon kuwa wanamillk helicopter..hammer ..shanging..wana nyumba 20...rejea mzee wa upako na shila...

Kwahyo kufananisha mfumo wa katolik na makanisa haya ya mitume na manabiii kwamba ni sawa naona kama mkuu kuna tatzo katika uelewa wako wa mambo..ni either ndo wale kondoo wasiosikia chochote wala kuambiwa chochote kuhusu hao manabii wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utaratibu maalumu au Siyo!!. Huo Utaratibu ushakusaidia Kitu gani Kama Muumini!?

Ukiajiriwa Sehemu Mwajiri atleast anakuambia Atakupelekea Michango NSSF,NHIF n.k huko Kanisani Hizo Sadaka Zishakukatia Hata Bima Ya Afya ... bima za Moto. Bima za Maisha. Bima za Ajali n.k

Hakuna Sadaka inayoenda Kwa Mungu hata mara Moja maana Mungu hayupo hivyo. Hizo sadaka zinaenda Kwenye Account za Watu waliojiwekea Organization maalumu ya Kuzicontrol halafu ww unakuja Kutetea Humu wakati hizo sadaka hazikusaidii chochote kile katika Maisha Yako. Ukiugua Hakuna Kanisa wala Padri anachanga Kuugua Kwako zaidi ya Kuja Kukuombea. Wakat wao wakiugua Ww Unachanga Pesa Wakatibiwe

Huo Utaratibu maalumu ungekuwa ni wakuwawezesha Waumini wafaidike na Sadaka zao maana Tunajua Sadaka haziendi kwa Mungu zinaenda Kwenye Account za Kanisa. Mwisho wa siku Sadaka Hazileti matokeo kwa Muumini Husika na Hakuna Muumini Anayepata Faida ya Sadaka zake moja Kwa Moja Zaidi ya Kupigwa pigwa chenga ya Kusema UNAMTOLEA MUNGU
Hiv hizo sadaka unazoongea hapa unajua ni sh ngap?
Kanisa zima lina watu zaid ya 1000 sadaka sometime haifik hata 3m au 2m...utasema si wanatoa zaka..michango mingne..jiulize hzo shule hospitali nchi nzima znajengewa matope..hayo makanisa yanayochomoza yanajengewa matope..huduma ya maisha kwa taasis ya kanisa inaendeshwa kwa matope...? Tho kuna hela inapigwa..ila sio kama huo upande wa pil ambako mchungaj ndio kila kitu na wana utajiri binafsi wa kukithiri na waumin wakitazama tu....

Unasema waumin katolik wanafaidika vip...umeonyesha ubinafsi wa hal ya juu hapa..na kanisa la kwel haliko hvyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.

Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.

Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )

Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Sadaka umeacha bei gani
 
Mleta mada ana inferiority complex tatizo hili huwapata hasa watu waliotoka familia na koo maskini na wenye maisha duni ambao hawajatoboa akienda hata msibani akatokea Mabeyo utasikia ahh tulihudhuria msiba mkubwa na Mabeyo!! Utafikiri walitoka naye nyumbani kwake!!! Au akipita Mabeyo na gari yeye akiwa muuza genge la Nyanya utasikia jana tulikuwa naye msibani huyo mimi nimekaa hapa yeye kakaa hapa jirani kabisa huku akijichekesha kibwege bwege kujionyesha super

Ni umaskini wa kuanzia mawazo ,maisha nk anakuwa anajiona kidogo kama ka steam out frustration zake za maisha akiongea hivyo kuwa ohh msinione nauza genge hili jana nililkaa na Mabeyo!!!! Ukimuuliza hilo lime add value gani kwenye maisha yake au kubadili status ya uchoka mbaya wa maisha yake ? Hamna kitu ni ujinga hewa tu uliojaa kichwani!!
Tatizo la inferiority company nchi hii lipo hadi kwa watu matijiri na ndio chanzo kikubwa cha siasa zetu za kujikomba na kujipendekeza kwa watawala kupitiliza (sycophancy)
 
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.

Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.

Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )

Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Kuna watu wakipata matatizo makubwa, wanakuwa wanatapa tapa, waganga, makanisani , mashekhe nk. Mfano magonjwa, hospital wameshindwa, unakuwa huna jinsi, lazima kutafuta alternative
 
Wanawake ndio wahanga wa hizi takataka hapa wamewekwa Kati na huyu mshirikina, mamlaka za Ghana zingeingilia Kati huu ni udhalilishaji.
Kagame yupo SAwa huna degree ya dini kafungue bar sio kanisa.
Hii ni vodoo kabisa

Tatizo la inferiority company nchi hii lipo hadi kwa watu matijiri na ndio chanzo kikubwa cha siasa zetu za kujikomba na kujipendekeza kwa watawala kupitiliza (sycophancy)
Mwenzako YEHODAYA ( ambaye ni Tajiri JamiiForums nzima ameshasema GENTAMYCINE natokea Koo ( Familia ) Masikini ndiyo maana nina hiyo inferiority complex ) sasa inakuwaje Wewe unapingana nae na sasa kusema kuwa hata wanaotoka Familia za Kitajiri pia wana huo Udhaifu?

Nitafurahi zaidi GENTAMYCINE nikitambulika na nikijulikana hasa kuwa ni Masikini halafu natokea katika Koo Masikini ( Duni ) hapa kwa wana JamiiForums wote sawa?

Hongereni mliotoka 'Rich Families' Ok?
 
Wanawake ndio wahanga wa hizi takataka hapa wamewekwa Kati na huyu mshirikina, mamlaka za Ghana zingeingilia Kati huu ni udhalilishaji.
Kagame yupo SAwa huna degree ya dini kafungue bar sio kanisa.
Hii ni vodoo kabisa

Mkuu ulipomtaja tu Rais wangu Paul Kagame ( African Genius ) umenifanya GENTAMYCINE nifurahi sana kwani ni Rais wa Maendeleo, Mikakati, Mipango na Ushujaa tofauti na Marais wengine duniani ( hasa barani Afrika ) ambao wamewekeza katika Uwongo, Ushirikina, Unafiki, Chuki na Kuzurula hovyo bila Vipaumbele huku 'ignorance level' ikiongezeka tu katika nchi zao ambazo ni Kubwa kuliko hata Rwanda.
 
Huo ni ule unafiki wa kutoa boriti kwenye jicho la mwingine kabla ya kutoa kwenye jicho lako kwanza.
Toa Hoja acha Kujificha ficha.... Sema Tofauti iliyopo kati ya RC na Makanisa Mengine. Kote Mnatoa Michango kwenda kwenye Mifuko Ya Watu. Haijalishi hiyo mifuko ina Mfumo maalumu au Inakwenda kwa Mtu. Yote mnafaidisha Upande fulani

Mnachanga Kujenga makanisa. Mnachanga Kununua Magari ya Mapadri na Masista. Mnachanga Kujenga Nyumba za Mapadri. Michango kote ipo Na Inaenda Kwenye Account za Kanisa

Sasa Walokole wanafanya Hivyo hivyo Mnawaona Ni Tofauti na Nyie?
 
Kuwa muelewa, acha ubishi wa kingumbaru.
Kwahiyo unambishia Tajiri Mkuu JamiiForums nzima YEHODAYA kuwa GENTAMYCINE ni Masikini ( Ngumbaru ) na kwamba natokea pia katika Koo / Familia ya Kimasikini ( Kingumbaru ) Mkuu?
 
Hahahahah we popoma ni tajiri bana Maskini wako parokia ya Temeke huko🤣 we unatokea Mbezi beach na Volvo mayai kila jumapili halafu unajiita maskini?
Ningekuwa Tajiri na nina Volvo halafu natokea Mbezi Beach ningetoa Sadaka ya Tsh 1000/ halafu nikaomba Chenji ya Tsh 500/ kwa Shemasi?

Na Mimi namuomba Mwenyezi Mungu anipe Utajiri aliompa YEHODAYA ambaye licha ya kuwa sasa anaishi Washington DC Marekani jirani ya White House ya Joe Biden ( US President ) pia huwa anatoa Sadaka ya Tsh Milioni 50 kila Jumapili halafu anatokea Koo ( Familia ) ya Kitajiri ya akina Bill Gate.

Mimi natokea 'Tandale' na sina Utajiri.
 
Huo ni ule unafiki wa kutoa boriti kwenye jicho la mwingine kabla ya kutoa kwenye jicho lako kwanza.
Historia inasema Huko Mwanzoni ilikuwa ngumu sana Kuikosoa RC na Wengine walipata Taabu. Sasa Kipindi Hicho ndipo Kanisa Linajiwekea Mali na Mizizi na Misingi ya Kupata Pesa. Na Kumbuka Watu walikuwa Wanatoa Pesa Ili kupata Baadhi ya Baraka.

Kama ilivyo sasa Hivi Eti Ili Uombewe Au Upele maombi Kanisani RC inabidi Ulipe Pesa na Uiweke Iambane na Maombi hayo. Ili mwanao Apewe Ubatizo kuna Michango Inabidi uwe ushachangia

Sasa Hapa Kuna Tofauti Gani Na Walokole
 
Kuna mantik fulan unaikosa..sasa sjui rarrni uelewa...?
Kiongoz wa katolik.hana mke hana watoto hana nyumba binafsi yenye jina lake hana gar binafsi lenye jina lake..michango yote na sadaka havipit mikonon mwake ..hamilik mali yoyote..kaz yake ni kuongoza watu shugul za kiroho kwahyo anatunzwa na watu waliompa kaz hyo

Walokole wao..mtume na nabii..ana mke na watoto..ana nyumba binafsi..gar binafsi yote yana majina yake..wengi wana ukwasi uliotukuka...management nzima ya kanisa ni circle yake ya watu wake ambao hawahoji chochote sabab kanisa ni lake na ameanzisha yeye..wengne hadi wana brag mitandaon kuwa wanamillk helicopter..hammer ..shanging..wana nyumba 20...rejea mzee wa upako na shila...

Kwahyo kufananisha mfumo wa katolik na makanisa haya ya mitume na manabiii kwamba ni sawa naona kama mkuu kuna tatzo katika uelewa wako wa mambo..ni either ndo wale kondoo wasiosikia chochote wala kuambiwa chochote kuhusu hao manabii wao

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ulivyo danganywa. Mambo kwa Ground ni Tofauti sana. Siku hizi Mapadri wana Wake na Watoto na Wana majukumu kama Uliyonayo kwa Kificho. Wanajenga Kwao na Kumilikisha Mali kwa Majina Ya Ndugu

Unasema Mali zinamiliikiwa na Manabii kwa Majina Yao. Kisa wao hawana Mifumo maalumu ya Kifedha ndio unaliona Hilo. Huoni Kanisa Lenyewe lina Mifumo yake ambayo haina Tofauti na Benki [emoji542] tu ilivyo unaweka Pesa Inakuambiq Inazitunza Kumbe Inasambaza Pesa zako inapata Faida Bila Ww kujua Chochote.

Kanisa katoliki lenyewe lina Papa na Makadinali hao wana Tofauti gani Na Wachungaji na Manabii wa Walokole. Si ndio wanashikilia Pesa zako na Wanafanya Watakavyo kwenye hizo pesa
 
Back
Top Bottom