Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa kuingizwa chaka kuwa kuna Mungu baba, mungu mwana na mungu roho na kuwa yesu alichukua dhambi za walimwengu wote pale msalabaniRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%
Una matatizo ww. Japo hauyaoni.. na madhara ya matatizo uliyo nayo hayataonekana leo wala kesho.. yataonekana baadaye sana na utajuta kwamba fikra ulizo nazo sasa zilikupotosha.. ndio tatizo la haya mambo.. unapotea taratibu.. na majuto ni baadae sana kama vile mjukuu anavyokuja baadae sanaKuku ni Kiumbe cha Mungu kama Wewe ulivyo na Chenyewe kiliumbwa Kabla Hata Ya Wewe. Wewe ni Kiumbe Cha Mwisho Kuumbwa. Usidharau [emoji215]
Kikubwa ww Umepewa kitu tofauti na Yeye tu ambacho ni Akili ingawa si Binadamu wote Wana Akili Timamu
Mbona mwalimu wako wa shule ya msingi unamzidi elimu?.Waliotekwa na dini hawana akili timamu.
Waliotuletea dini(Wazungu na Waarabu) hawajatekwa na dini kuliko tulioletewa hio dini.
Ni lini hiyo sadaka ilirudi kwa muumini mmoja moja?.Sadaka siyo mali ya padri inakwenda jimboni na kutolewa kwa utaratibu maalum tofaut na walokole sadaka anachukua mchungaji anafanya anavotaka
We jamaa una makasiriko na RC sio bure aisee.Kwahiyo kwa vile Paroko aondoki na Hilo Gari basi Moyo wako umesuuzika Kwa sadaka zako Kutumiwa Kununulia Binadamu mwenzako Usafiri. Ila Wewe ukipatwa na Matatizo Unaombewa na Kupewa Sala zaidi ya 20 kwenda Kusali asubuhi nq Jioni..Sasa Inakuuma Nini Walokole wakinunua Magari ya Wachungaji Wao
Usiongee usichojua, mi naijua RC, Na siku zote Usiweke akili kwamba Kisa Mtu yupo Tofauti na Ww basi si Wa Sehmu ulipo...Ila Sioni Tofauti kubwa Na Mnaowasema ni Walokole vibaya wakati Hao mnawaita Walokole ni Tawi la RC sasa Wao waliamua Wachungaji Kuoa na Kuwa na Familia Na Kwenda Kuanzisha Makanisa Yao.. Kumbuka Mtu akitoka Kwako hawezi akawa na Mifumo kama Yako. Ingawa ana akili kama Yako. RC wao walijiunga na Serikali mbalimbali za Dunia na Kuweka Mabalozi huko ila Kumbuka Wanachuma kwa Waumini kama Walokole wanavyochuma kwa Waumini. RC wanamichango Kibao tu ambayo Sidhani kama Walokole wana hiyo Michango kuizidi RC. Ingawa hata Walokole watafika Huko kuwa na Michango kibao tu
Hapa Hatuzungumzii Matumizi ya Gari alilonunuliwa. Maana Hilo gari Linaweza Pia Kukutwa Sehemu ambapo si Kigango wala Parokia wala Jumuia likakutwa Sehemu Nyingine tu
Ndio maana Nasema Tumepumbazwa sana. Sasa Kwanini Ukiona Walokole wanakula Kama Hao Mapadri unasumbuliwa moyoni. Ukiona Mchungaji wa kilokole anatembelea magari na Walinzi unasumbuliwa moyoni. Wakati kitu hicho hicho unaweza Kukiona Pia kwa Papa. Au umesahau kulikuwa na Mapapa Waovu wanaochezea mali za Kanisa na Wanawake na Kula Pombe na Uovu kibao kipindi cha Nyuma
Halafu unasema hawana Majimbo sijui Parokia. Hujawahi kuona Makanisa yao Mikoani wewe na Majimbo yao Mikoani. Mfano mzuri kuna Askofu mkubwa tu hapo Dar ana matawi kibao Mikoani Ya FGBF.
Siku hizi Mapadri Na Masista hao hao wanasoma Na Kupata Ajira mbalimbali na Wanalipwa Mishahara. Usijidanganye Eti Sadaka zako ndio zinawalisha. Sema Sadaka zangu zinawasomesha na hujawahi Kupata Chochote Kutoka Kwao kutokana Na Wewe kuwasomesha zaidi ya Kila Siku Kutoa Michango
Mkusanyiko wa maandiko mengiHivi ninyi binadamu, mnapoongea haya, mnatumia andiko gani katika Biblia? Naomba nami unionyeshe, ili pengine niwaelewe japo chembe kidogo.
Sijaangalia, inasemaje?Man dunga: umeelewa hiyo video?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naungana na wewe kiimani kwa kusadiki kanisa moja takatifu katoliki la mitume. Ila nakinzana na wewe katika angle mbili. 1. Ni muhimu sana sisi sote kushika imani zetu huku tukiziheshimu na imani za wengine. Hivyo si vema kukashifu au kupuuza imani za wengine.
2. Jamii sports na maswala ya dini wapi na wapi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vice versa is true, yeye anakuona wewe huna akili kwa kuwa hauko kwa manabii, na wewe unamuona hana akili kwa kutekwa na manabii.
Nani amekwambia uangalie?Sijaangalia, inasemaje?
Umekosa mbivu unaamua kujifariji na mbichiRejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%.
Endelea kupotoka kote mnapigwa halafu unatetea. Mie sitaki marumbano one day utajua. Sasa hivi Ushawishi wa Makanisa umepungua sana. tofauti na miaka ya Nyuma. Papa na Manabii wa sasa Hawana Nguvu kma zamani.. Jiulize kwaniniWe jamaa una makasiriko na RC sio bure aisee.
Au labda nikuulize kitu ndgu, wewe unataka sadaka yako ikunufaishe kwa 100%?? Sasa hiyo ni kodi na sio sadaka.
Hapa mleta mada anachozungumzia ni ile kumtajirisha mtu mmoja, angalia mifano ya makanosa haya ya kilokole mwenye nguvu kubwa hapo kanisani ni huyo mchungaji mwenye upako, kwanza huyo anaweza kua tajiri kuliko hata waumini wote, huyo ndo mpanga mipango ya pesa za kanisa zitumikaje, huyo ndo mponyaji, masihi, ukiwa na shida basi peleka sadaka kwake.
Mfano leo hii kuna hao wanajiita manabii kuwaona mpaka utoe pesa, ukitaka kuponywa basi nunua maji, sabuni, mafuta au udongo wa upako.
Sasa utofauti nnaousemea mimi ni huu, wao nguvu zote anazo hiyo mmoja ilhali RC haiko hivyo.
Umekaza ubongo eti kisa mapadre hawaondoki na gari basi mm roho yangu kwatu eti hilo gari mm halinisaidii kitu[emoji16][emoji16], ndio maana nikasema wewe una makasiriko na RC, ushaambiwa gari linatumika na parokia kufikia vigango mbalimbali sasa na mm si ni muumini wa ivyo vigango au ulitaka wanipe mm kisa natoa sadaka.
Kijana hiyo gari ni ya kusafiria, sasa kuna uajabu gani kulikuta mahali tofauti na kigangoni(hapa mkuu ulishindwa kujiongeza).
Masister na mapadre huwa wanasoma, na ndio huwa na profession kadha wa kadha lakini hao wote huudumu kanisani au kwenye mahospital/ mashule ya kanisa, na ndio hulipwa kwani hifanya kazi. Na hata mapadri pia naskia kuna namna huwa wanapata posho(japo sina hakika sana na hili).
Umeelewa.
Mleta mada ana inferiority complex tatizo hili huwapata hasa watu waliotoka familia na koo maskini na wenye maisha duni ambao hawajatoboa akienda hata msibani akatokea Mabeyo utasikia ahh tulihudhuria msiba mkubwa na Mabeyo!! Utafikiri walitoka naye nyumbani kwake!!! Au akipita Mabeyo na gari yeye akiwa muuza genge la Nyanya utasikia jana tulikuwa naye msibani huyo mimi nimekaa hapa yeye kakaa hapa jirani kabisa huku akijichekesha kibwege bwege kujionyesha superHivi kulikuwa na haja gani ya kumtaja CDF Mabeyo na mkewe? Tanzania bado tuna safari ndefu sana ya kulikomboa Taifa letu dhidi ya fikra za namna hii.
Mkuu unayebishana naye aweza kuwa padri mnufaika wa hako kamrija ka kunyonya waumini !!!Endelea kupotoka kote mnapigwa halafu unatetea. Mie sitaki marumbano one day utajua. Sasa hivi Ushawishi wa Makanisa umepungua sana. tofauti na miaka ya Nyuma. Papa na Manabii wa sasa Hawana Nguvu kma zamani.. Jiulize kwanini
Watu washaanza Kushtukia hii michezo
Kama una moyo na muda kidogo tafuta lecture moja ya Prof Robert Sapolsky inaitwa "Biological Underpinnings of Religiosity"Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako.
Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe wanasali kwa Neno zuri la Kiroho ambalo tutaishi nalo Wiki nzima na Kubarikiwa zaidi.
Sasa Wakatoliki ( wenye kujua Kusali ) tumepumzika tukitafakari Neno huku tukipigiwa Kelele na Wapenda Miujiza, Uwongo na Wapiga Kelele walio Jirani wa kuanzia Asubuhi hadi Jioni huku wakitoka Ibadani hata Nauli wanakosa baada ya Kumtajirisha Mhubiri Tapeli ( Wahubiri Matapeli )
Najivunia kuwa Roman Catholic 100%