Sisi Chawa wa Rais Dkt Samia tunasema aachwe afanye kazi!

Uliileta ukimaanisha nini hiyo clip? Mnapenda vi maneno vya uchonganishi
Nilimaanisha alichosema.Kwani Watanzania wakisikia alichosema Samia kupitia clip yangu niliyopost kuna ubaya?Acha kujishtukia,kuna kitu unataka kuficha🐒🐒🐒
 
GTs,

Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake.

Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh mara lile. Muacheni Rais wetu Dkt Samia afanye kazi. Suala la bandari lina manufaa makubwa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.

Nawasilisha

IMG_1134.jpg
 
Mshana Jr nilikuwa nakuona una hekima kumbe bure kabisa, hivi wewe ndiyo wa kuleta habari za uongo jukwaani???? ChatGPT reference date yake mwisho September 2021 na leo June 2023, hivyo hiyo ChatGPT haina taarifa za maamuzi ya hizo kesi. Na isitoshe hakuna kampuni isiyokuwa na migogoro hata wewe hapo Mshana Jr lazima una vimigogoro na ndiyo ukomavu wenyewe huo. Hizi kesi zinaonesha kampuni pendwa ipo sehemu nyingi na inafanya vizuri. Hata Dkt Magufuli aliwahi nena ukiona watu wanapiga sana kelele shikilia hapo hapo, sisi Chawa wa mama tunamuambia Mama yetu Rais Dkt Samia shikilia hapo hapo nchi iendelee.
Asante kwa mtazamo na majibu.. Lakini sitaweza kubadili chochote kwenye reply yangu hiyo.. La muhimu tuupe muda wakati utasema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa basi. Aachwe, ila CCM must go halafu tuone atavimba vipi huko mbele.

CCM must go! watulie wapate akili.
Tena usigusie mambo yetu ya CCM nitakubalaza sasa hivi. CCM ni chama kubwa lina mizizi limejikita!
 
GTs,

Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake.

Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh mara lile. Muacheni Rais wetu Dkt Samia afanye kazi. Suala la bandari lina manufaa makubwa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.

Nawasilisha
Lina manufaa then tumlaumu Prof Paramagamba Kabudi??

How old are you????
 
🤣🤣 eti chawa wa mama,Kuna kamoja kanajitolea ofcn,mie nakaa nacho mbali kweli,hata kazi sikapangii,manake najua ndio masnitch wenyewe huku maofisini🙏
 
GTs,

Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake.

Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh mara lile. Muacheni Rais wetu Dkt Samia afanye kazi. Suala la bandari lina manufaa makubwa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo.

Nawasilisha
Mara alaumiwe Kabudi mara lina manufaa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo... Inabidi uondolewe kinyesi kichwani kwanza. Maana kama katika andiko fupi hivi unajichanganya utaelewa mambo mazito kama ya mikataba kweli?
 
Mshana Jr nilikuwa nakuona una hekima kumbe bure kabisa, hivi wewe ndiyo wa kuleta habari za uongo jukwaani???? ChatGPT reference date yake mwisho September 2021 na leo June 2023, hivyo hiyo ChatGPT haina taarifa za maamuzi ya hizo kesi. Na isitoshe hakuna kampuni isiyokuwa na migogoro hata wewe hapo Mshana Jr lazima una vimigogoro na ndiyo ukomavu wenyewe huo. Hizi kesi zinaonesha kampuni pendwa ipo sehemu nyingi na inafanya vizuri. Hata Dkt Magufuli aliwahi nena ukiona watu wanapiga sana kelele shikilia hapo hapo, sisi Chawa wa mama tunamuambia Mama yetu Rais Dkt Samia shikilia hapo hapo nchi iendelee.
Nijuacho mimi kwenye hiyo kesi DPWorld vs Djibouty serikali ya Djibouti iliwaacha wajenge Contena terminal halafu serikali ikawazulumu kwasababu ya wao kukodi Bandari nyingine kwenye mwambao huo.
 
chawa katumwa tunamchora tu huku tunasokota rizla.
Anatuona watanganyika wajinga sana.
 
Mara alaumiwe Kabudi mara lina manufaa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo... Inabidi uondolewe kinyesi kichwani kwanza. Maana kama katika andiko fupi hivi unajichanganya utaelewa mambo mazito kama ya mikataba kweli?
Dah hakika Tz kuna vichwa panzi kibao. Nilichomaanisha Prof yupo kwa ajili ya kurekebisha. Panapokuwa na mapungufu basi atafanyia kazo
 
Back
Top Bottom