Sisi Chawa wa Rais Dkt Samia tunasema aachwe afanye kazi!

Uliileta ukimaanisha nini hiyo clip? Mnapenda vi maneno vya uchonganishi
Nilimaanisha alichosema.Kwani Watanzania wakisikia alichosema Samia kupitia clip yangu niliyopost kuna ubaya?Acha kujishtukia,kuna kitu unataka kuficha🐒🐒🐒
 

 
Asante kwa mtazamo na majibu.. Lakini sitaweza kubadili chochote kwenye reply yangu hiyo.. La muhimu tuupe muda wakati utasema!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa basi. Aachwe, ila CCM must go halafu tuone atavimba vipi huko mbele.

CCM must go! watulie wapate akili.
Tena usigusie mambo yetu ya CCM nitakubalaza sasa hivi. CCM ni chama kubwa lina mizizi limejikita!
 
Lina manufaa then tumlaumu Prof Paramagamba Kabudi??


How old are you????
 
🤣🤣 eti chawa wa mama,Kuna kamoja kanajitolea ofcn,mie nakaa nacho mbali kweli,hata kazi sikapangii,manake najua ndio masnitch wenyewe huku maofisini🙏
 
Mara alaumiwe Kabudi mara lina manufaa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo... Inabidi uondolewe kinyesi kichwani kwanza. Maana kama katika andiko fupi hivi unajichanganya utaelewa mambo mazito kama ya mikataba kweli?
 
Nijuacho mimi kwenye hiyo kesi DPWorld vs Djibouty serikali ya Djibouti iliwaacha wajenge Contena terminal halafu serikali ikawazulumu kwasababu ya wao kukodi Bandari nyingine kwenye mwambao huo.
 
chawa katumwa tunamchora tu huku tunasokota rizla.
Anatuona watanganyika wajinga sana.
 
Mara alaumiwe Kabudi mara lina manufaa kwa nchi yetu na vizazi vijavyo... Inabidi uondolewe kinyesi kichwani kwanza. Maana kama katika andiko fupi hivi unajichanganya utaelewa mambo mazito kama ya mikataba kweli?
Dah hakika Tz kuna vichwa panzi kibao. Nilichomaanisha Prof yupo kwa ajili ya kurekebisha. Panapokuwa na mapungufu basi atafanyia kazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…