Sisi Chawa wa Rais Dkt Samia tunasema aachwe afanye kazi!

Dah hakika Tz kuna vichwa panzi kibao. Nilichomaanisha Prof yupo kwa ajili ya kurekebisha. Panapokuwa na mapungufu basi atafanyia kazo
Hauelewi kitu umejaa chawa kichwani. You are useful only on bed
 
Punguza ushuzi
 
Tena usigusie mambo yetu ya CCM nitakubalaza sasa hivi. CCM ni chama kubwa lina mizizi limejikita!
Kamata haoooooo shikaaaaa haoooooo.

Mizizi ya kula rushwa?
Mizizi ya Ufisadi?
Mizizi ya Kunadi na kuweka rehani Raia wake?
Mizizi ya Kuangamiza makabila ya wazawa, wameanza na Wamasai.?

Narudia CCM must go.....we endelea na uchawa wako, una hazi zako, usiingilie haki zangu. CCM kama chama kitakuwa hakichaguliki kwa mwenendo huu wa kupoteza dira!
 
Nyie ndio watu mnayoongea msiyo yajua. Mmekaa kama kasuku mnarudia kitu kilivyo pasi na kushirikisha ubongo wako.

Sasa hapo ndio umeleta hoja gani?? Uzuri wa mkataba huo ni upi? Hebu tetea
 
2025 tuweke kichaa Mmoja pale ikulu,tuwanyang'anye tu,hakuna namna.
 
Ndugu,Chama vipi kama msosi wa Chama ikashambulia na Kunguni,na Viroboto hata ukatoofika kiasi cha Kumnyima Chawa msosi wake wa dezo/bila jasho🤔.Hivyo ninaipuuza hoja hizi rasmi😂
 
Acha kumlisha maneno rais wetu Dkt Samia. Hii kauli ilimaanisha mishahara na perdiem, unakuta mtu kalipwa perdiem ofisini na yet anaenda kwenye taasisi nyingine anaomba perdiem. Na hakumaanisha rushwa Dkt Samia. Acheni kupotosha.
Udokta Udokta Udokta hivi huo Udokta kausomea WAPI?? wa kupewa ata hauna hadhi ni kufunika emptyness tu
 
Chawa ( louse) - mdudu mdogo anayekaa mwilini mwa mwanadamu, hasa kwenye nywele na nguo chafu na humnyonya damu.
Binadamu mwenye akili timamu hawezi kuona fahari kuitwa chawa, huu ni uzuzu wakujitakia, pia inaakisi level ya ujinga kwenye nchi maana hao ni wasomi waliosomeshwa kwa mikopo ili kulikomboa taifa leo wanashangilia kujiita chawa.
 
Tena Professor ndiye mshauri mkuu wa mikataba msimuangushie jumba bovu Rais wetu Dkt Samia.
Kwa uelewa wako unazani Kabudi anauwezo wa kushauri kila kitu..kwamba yeye halali?

Mambo mengine unajisumbua akili yako tu. Mama keshatia mkono pale na safari za Dubai kaenda kwa siri kubwa tena mara nyingi. Hapa Mbawara hapa Samia.

Soma hapa.
 
Chawa wanaishi kwenye uchafu hivyo kujiita chawa wa Samia maana yake unasema Samia ni uchafu,shauri yako na kiherehere cha kutaka uteuzi
Mimi ni mteule tayari, yaani tu ile kukubali kazi za rais Dkt Samia ni neema kubwa mno!
 
Ungekuwa na akili timamu usingejiita CHAWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…