Sisi ndio wanaume, hampaswi kujua

Sisi ndio wanaume, hampaswi kujua

Vipi kwani suala kuhudumia wazazi wa mwanamke,na nwanamke kuhudumia ukweni mambo yaliyopo kwenye mkataba wa ndoa?

Alafu kwani mwanaume nae akienda ukweni unadhani hawezi kufanya kazi za nyumbani/ hasa kumsaidia mzee wa mke wake?.
Havipo kwenye mkataba wa ndoa ila vipo kwenye tamaduni zetu, kama hutaki kuhudumia familia ya mkeo basi nawe usitake mkeo alee familia yako, halafu ni wanaume wa wapi hao ambao wanahudumia ukweni na bado wakienda wanasaidia kazi za nyumbani
 
Dunia ina mengi sana usiyoyajua mkuu.
 
Havipo kwenye mkataba wa ndoa ila vipo kwenye tamaduni zetu, kama hutaki kuhudumia familia ya mkeo basi nawe usitake mkeo alee familia yako, halafu ni wanaume wa wapi hao ambao wanahudumia ukweni na bado wakienda wanasaidia kazi za nyumbani
Naomba nikuulize iv mdogo wa mwanamke aliyeolewa akikataliwa kusomeshwa na shemeii yake, hii italeta ugomvi kwa wakwe na binti yao kiss binti huwahudumia wazazi wa mme? Naomba mawazo yako hapa.
 
Hapana huwa naona kama mnataka sifa kwa mambo ambayo ni majukumu yenu, ni sawa na wanawake nao watake sifa kwa kuzaa na kulea, wakati huwa mnadai hayo ni majukumu yao hivyo hawastahili kusifiwa
Huwa tunawasifia sana mama zetu mkuu, kuna watu wanasifiwa na wenye siku zao nyingi duniani kama wanawake.
Tunawaimbia hadi nyimbo za kupendeza "nani kama mama" "nakupenda mama" nk

Lakini baba wala hasifiwi kama mama, ila hata hizi sifa chache nazo mnatupika aloo.
 
Tatizo wanaume wanaotaka kusifiwa ndio wale ambao wanaongoza kwa kutukana wanawake
 
Ni maswahibu tu ya dunia mkuu, wapo wanawake wanaowatukana wanaume vilevile.
Ke akitendwa na Me basi atawananga Me wote vivyo hivyo kwa Me.
Shida ni kua watoa maudhui wanaosikilizwa kwa wingi na kuaminiwa ni wanaume, ndio maana unaona kama wanawake ndio wananangwa sana.
Hata hapa jf tu, nyuzi nyingi forums zote ni za Me. Ke sio waanzisha nyuzi wala wachangiaji sana.
 
Kwanza kati ya wanaume na wanawake ni akina nani ambao kufika kileleni ni uhakika kwao
Wanaume, maana wakitaka ni suala la kugusa tu.

Jitihada, mikakati na usumbufu wa kuchelewa kumaliza, kupaka dawa kama 'vumbi la Kongo' nk, nia ni kumsubiria mwanamke afike
 
Hapana nia ya hayo yote ni kutaka kuweka heshima tu wala hakuna kingine, huwa mnapenda kila mnapokutaka na mwanamke mjitutumue kwamba ninyi ni vidume, ili wasiwadharau na hata wakati mwingine wakihitaji tena basi wawakumbuke ninyi tu
 
Ni maswahibu tu ya dunia mkuu, wapo wanawake wanaowatukana wanaume vilevile.
Ke akitendwa na Me basi atawananga Me wote vivyo hivyo kwa Me.
Shida ni kua watoa maudhui wanaosikilizwa kwa wingi na kuaminiwa ni wanaume, ndio maana unaona kama wanawake ndio wananangwa sana.
Hata hapa jf tu, nyuzi nyingi forums zote ni za Me. Ke sio waanzisha nyuzi wala wachangiaji sana.
Sasa mkuu tuongee tu ukweli kwenye masuala ya ngono na mahusiano ni nani ambaye akitukanwa matusi yake yanachukuliwa kwa uzito kwenye jamii, hivi mwanamke akiitwa single mother na mwanaume akiitwa single father ni kipi kitachukuliwa kwa uzito zaidi, au mwanamke akiitwa malaya na mwanaume akiitwa malaya ni yupi itamletea impact kisaikolojia ukizingatia wanaume huwa mna vimisemo vyenu vya kutetea maovu kwa jinsia yenu
 
Ni mambo ya kawaida tu hayo wala msifanye ionekane kama ni ajabu sana, wanaume wanahudumia kwa sababu they expect something in return toka kwa wanawake kama heshima na kufanyiwa majukumu ya nyumbani, lakini mwanamke akihudumia anapata nini in return toka kwa mwanaume
Unapoongea haya unatumia kilevi gani hapo?Anategemea heshima na kufanyiwa majukumu ya ndani kwani houseworker hawezi fanya hayo
 
Wewe unaishi nchi gani tuanzie hapo kwanza, unaongelea hawa hawa wanaume wa kiafrika ambao housegirl akifanya hayo majukumu, mume anaanza kutembea naye kwa madai kwamba mke kajisahau kila kitu kamuachia dada hivyo mke naye afanye
 
Back
Top Bottom