Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,898
- 9,809
Wewe mnafiki sana, chunga nyendo zako. Una muda mchache sana mwanangu.Sawa!
Mnasakisha vijana wa watu tuu. Nyie ni wakatili sana
Wewe mnafiki sana, chunga nyendo zako. Una muda mchache sana mwanangu.Sawa!
Mnasakisha vijana wa watu tuu. Nyie ni wakatili sana
Wewe mnafiki sana, chunga nyendo zako. Una muda mchache sana mwanangu.
Wewe, Samia, Abdul wamekutuma na kukulipa uwatetea, kudhoofisha na kuhamisha mjadala kuhusu hatima ya Tqnganyika. Wewe ni mmoja wa wasaliti wa Tanganyika.Jina lako halipo mkuu?
Wewe ni mnafiki nakwambia tena, wengine mizizi yetu tumiechimbia chini sana. Unaandika mifasihi yako uchwara kwasababu ya ujinga huwezi kuangalia mbele unatafuta umaarufu na sifa za kijinga. Utakuja kulia humu humu mitandaoni muda si mrefu.Kwamba unajali? Unaona ulivyo mnafiki!
Mimi niwe na muda mrefu au mfupi wewe unajali kitu gani?
Hautaki ukweli.....
Wewe ni mnafiki nakwambia tena, wengine mizizi yetu tumiechimbia chini sana. Unaandika mifasihi yako uchwara kwasababu ya ujinga huwezi kuangalia mbele unatafuta umaarufu na sifa za kijinga. Utakuja kulia humu humu mitandaoni muda si mrefu.
Sawa waone bora watakavyokupapasa wewe au mwanafamilia yako ndio utajua kuchagua vizuri sasa kwamba nani ni bora. Shule hukupelekwa kujifunza unafiki. Usitake upate vyeo kwa unafiki maana hutakuwa na tofauti na wale wanao ng'ang'ania madaraka hivi sasa.Oooh! Unaona! Hicho ndicho nilikuwa naeleza kwenye mada.
Nikasema ni bora wauaji kuliko watu wa aina yako.
Kwangu ni bora kuishi na muuaji kuliko kuishi na mtu wa aina yako. Kwa sababu nyie ndio hatari na tatizo kuliko hao unaosema nichunge nyendo zangu kwao.
Mimi nyendo zangu na watu kama wewe. Kwa sababu najua jinsi mlivyo.
Mnajifanya WEMA wakati nyie ndio wabaya
Wewe, Samia, Abdul wamekutuma na kukulipa uwatetea, kudhoofisha na kuhamisha mjadala kuhusu hatima ya Tqnganyika. Wewe ni mmoja wa wasaliti wa Tanganyika.
Sawa waone bora watakavyokupapasa wewe au mwanafamilia yako ndio utajua kuchagua vizuri sasa kwamba nani ni bora. Shule hukupelekwa kujifunza unafiki. Usitake upate vyeo kwa unafiki maana hutakuwa na tofauti na wale wanao ng'ang'ania madaraka hivi sasa.
Ndio maana nasema wewe shule ulipelekwa kusomea unafiki sio kuutoa ujinga, vita ina mbinu nyingi sio lazima kila mtu awe askari jeshi au askari kanzu. Ndio maana katika nchi kuna usalama wa taifa ambae si lazima apitie jeshi, kuna askari jeshi, kuna askari kanzu, kuna migambo, kuna watumishi mbalimbali kama manesi, walimu, madereva n.k. wote hao wanajitahidi kwa namna zao kuhakikisha tunakuwa na jamii bora au bora jamii, hivyo basi hiyo ni vita ndivyo na mimi ninavyopigana vita hiyo ikifika wakati wa kutoka tutakuwepo. Sidhani kama utakuja na unafiki wako tena hapa.Tatizo hutaki kusikia ukweli. Ninachoongea ndio uhalisia wenyewe huo.
Wao ni bora kuliko wewe bila kujali wataniteka au kuniua lakini ni bora wao kuliko wewe ambaye umejificha na upo kimya unashindwa kutetea mambo.
Kama mngekuwa hamjifichi kama hivi hao wauaji leo wangekuwepo?
Unataka nikuambia wewe sio sehemu ya tatizo?
Usitumie mihemko. Jadili tuu kwa utulivu.
Mihemko na hasira zako hazibadili chochote
Wewe kigeugeu ( Hii Ni tabia ya wachomeshaji ).Mbona kama inakuhusu sana. Imekugusa kwa kiasi kikubwa!
Ndio maana nasema wewe shule ulipelekwa kusomea unafiki sio kuutoa ujinga, vita ina mbinu nyingi sio lazima kila mtu awe askari jeshi au askari kanzu. Ndio maana katika nchi kuna usalama wa taifa ambae si lazima apitie jeshi, kuna askari jeshi, kuna askari kanzu, kuna migambo, kuna watumishi mbalimbali kama manesi, walimu, madereva n.k. wote hao wanajitahidi kwa namna zao kuhakikisha tunakuwa na jamii bora au bora jamii, hivyo basi hiyo ni vita ndivyo na mimi ninavyopigana vita hiyo ikifika wakati wa kutoka tutakuwepo. Sidhani kama utakuja na unafiki wako tena hapa.
Unadhani kwa nini wanaitwa wasiojulikana?
Wewe kigeugeu ( Hii Ni tabia ya wachomeshaji ).
Leo mkeo kakurudishia Simu ?
vipi Lisu katoka ?
watibeli matapeli kabisa.
Ungezingatia sawa sawa elimu wala usingeuliza tena hayo maswali ambayo mengine ni majibu ndani yake.Kama unalijua hilo kwa nini unakuwa miongoni mwa mnaosakizia wengine watoke front wakati wewe unatumia mbinu ya kujificha?
Pili, kwa nini hutaki kukubali ukweli ninaokupatia kama kweli wewe ni mpiganaji wa haki?
Hujui kuwa kunyamazia maovu ni kushiriki uovu?
Hujui kuwa jamii kunyamazia maovu mfano ushoga kuwa waziwazi au wizi au ujambazi ni kwamba jamii imeruhusu hayo na inashiriki hayo?
Kwako kipi bora au nani bora kati ya hawa;
Muuaji anayeua
Au watu wanaoona muuaji akiua wakakaa kimya? Nani kwako bora?
Ni mtu kama wewe. Unatetea kwa nguvu zako zote hawa watekaji na wauaji na kujaribu kuhamisha magoli kwenye focus ya mjadala.Unajua maana ya msaliti?
Unajua tabia za wasaliti?
Unafiki ni sehemu ya tabia zao.
Wewe unajadili hatma ya Tanganyika ukiwa umejificha? Na bado uone wengine wasaliti. Mkuu embu tumia vidonge vya madini ya chuma
Ungezingatia sawa sawa elimu wala usingeuliza tena hayo maswali ambayo mengine ni majibu ndani yake.
Embu nikujibu kiduchu tu.
1. Hakuna nilie msakizia, sasa tupo kwenye phase 1 ya upambanaji wa hii vita kama mwalimu au askari anavyotekeleza majukumu yake, ikifika wakati wa kuwepo tutakuwepo live bila chenga hata wewe tutakutembelea tukupe salamu.
2.Hakuna ukweli wowote ulinipatia, naona kabisa unazungumza unafiki unataka ni kubaliane.
3. Sasa kati ya mimi na wewe nani ananyamazia maovu? Wewe unaeandika fasihi zako za kijinga jinga ambae huelewi unasimamia nini? Wewe kama mshumaa tu upepo ukivuma mashariki flame inaelekea upande huo huo n.k mwisho wasiku upepo ukiwa mkali mshumaa utazima ndio kitakachofuatia hivi karibuni.
4. Suala la kunyamazia maovu chanzo ni serikali yako kutokutenda haki, kutokuwa na utawala bora, wizi na ufisady. Umewahi sikia nchi gani ulaya mwizi kakamatwa kachomwa moto? Ni kwasababu vyombo vya dola vinafanya kazi yake ipasavyo. Kwenye mambo ya ushoga hapa TANZANIA hatuna sheria ya mambo hayo lakini tuna sheria ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile kuwa ni kosa sambamba na sheria ya ndugu kuoana au kuwa na mahusiano ya kimapenzi kuwa ni kosa lakini bado hayo matendo yanafanyika wananchi wakienda kwenye vyombo vya maamuzi haki hakuna, utawala wa sheria haupo kwahiyo wanaona wakae tu kimya.
5. Kwangu bora anaekaa kimya kwasababu kukaa kimya ni jibu kwa watawala wapewe space kujitazamia na kuona wapi wanakosea ili wajirekebishe, wakishindwa tutawalazamisha ndicho ambacho unakiona sasa na vuguvugu linaloendelea sasa ni kutokana na uvumilivu kuisha na kutokujisahihisha kwa wale tulio wapa mamlaka.
Ni mtu kama wewe. Unatetea kwa nguvu zako zote hawa watekaji na wauaji na kujaribu kuhamisha magoli kwenye focus ya mjadala.
Unawakejeli, kuwakebehi, kuonyesha dharau zako kubwa kwa wote wanaotafuta njia za kukomesha utekaji, mauaji, mbadala na ukombozi wa Taifa lao. Unaona kama ni kitu fulani cha mzaha, utani, sehemu ya kuja kujisifia,kutafuta kiki, kuwakatisha tamaa wazalendo.