Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,898
- 9,809
Wewe bwana una matatizo kichwani kwako?Kama kwako ni bora wanaokaa kimya.
Kwangu ni bora wauaji kuliko wanaokaa kimya mauaji au maovu yakifanyika.
So ni suala la mtazamo.
Alafu unasema serikali za ulaya. Kwani hapa tupo ulaya?
Unasema serikali inaowajibu wa kusimamia haki mimi nazungumzia jamii ndio yenye huo wajibu.
Kwa sababu kuna wakati serikali inaweza kuvamiwa na kundi la watu waovu. Sada ikitokea hivyo nini kifanyike?
Jamii ikae kimya?(Iunge mkono)?
Tofauti ya ulaya na afrika au TANZANIA ni nini? Ujinga uliopo afrika umesababishwa na watu wa aina yako msio na uwezo, mnaotegemea vimemo. Laiti mngekuwa mnafahami purpose za kuwa viongozi msingefanya ujinga. Isitoshe wanaoishi ulaya ni binadamu kama wewe, mimi na yule nothing special there.
Nimekwambia hivi serikali, viongozi au watawala wakipewa space wakashindwa kujitafakari basi ile jamii au watu wao watawalazimisha kwa nguvu ili warekebishe sehemu wanazolalamikiwa.
Mfano suala la utekaji halijaanza zungumzwa leo, kila mahali na tangu kitambo abduction inazungumza watu wanapotea na kuumizwa vyombo vya dola vinaleta sanaa kwenye maisha ya watu. Jamil imeongea, ikakaa kimya na kuvumilia sasa imechoka wacha ifanye kuwalazimisha sasa hata kwa kafara ya damu.
Usirudie kuniuliza vitu vidogo vidogo kama hivyo. Use your brain 🧠 properly.