Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa

Wale wanaodai nature haiwaruhusu kuwa na mtu mmoja watakuja kukukashfu hapa. Nimekuelewa sana mkuu.
Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?

Yaani mngeishi kwa kufuata maandiko msingekuwa na mawazo kabisa na mngegundua kwamba hakuna cha malaya wala kidume wote wana dhambi ya uzinzi na uasherati na wote wanakosea hakuna cha jinsia wala maumbile aliyetuumba alishatoa amri na sheria zake kuwa ni dhambi hivyo wanaofanya wafanye huku wakijua kuwa ni dhambi na siyo kutafuta sababu za kuhalalisha hizo dhambi na kusingizia kuwa eti Mungu ameruhusu!
 
Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
achana na hao, kwani wakikuambia we malaya huwa inakutouch sana?
 
Unajua ni ukweli inauma kila mtu??
 
Nini tena kimetokea toto!

Usipende kuweka moyoni maneno ya kuambiwa mdogo wangu, huyo anayekuletea ndo mbaya na mchonganishi! Wewe yasikilize yaache yapite mamaa. Najua huwa yanaumiza ila kama hauko hivyo unajijua wewe na nafsi yako!

Furaha yako iko mikononi mwako!
Mke si ndio wewe sasa.
 
Savana yangapi hiyo mkuu?!
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
 
Kama malaya Malaya tu hata ukijificha nyuma ya keyboard haitobadilisha maana

Umri unaenda huku unatembea n wanaume za watu jua Kuna sehemu umeshakosea teyar wacha acheze na papuchi hyo.
 
Kama malaya Malaya tu hata ukijificha nyuma ya keyboard haitobadilisha maana

Umri unaenda huku unatembea n wanaume za watu jua Kuna sehemu umeshakosea teyar wacha acheze na papuchi hyo.
Mnajisemea tu kwa maana mnataka kiki tu.
1.vijimatusi havijengo
2.asilimi 75 hakuna mwanamke anayehitaji mume .
3.masingle mother watakuwa wengi kisa wanaume wengi kwa sasa ni wanamadharau na hawajali.
4.mnajiona
5.mnaropokwa
6.limbukeni wapo wengi sio wamama tu hata wakaka wamezidi.
7.mtasema sana mwisho mtachunwa mpaka viatu.
 
Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
Nimesoma mpaka nikacheka, Katoto Kazuri acha kukasirika. Fahamu hivi, anayekuudhi mara nyingi huwa hapati maumivu kama anayeumizwa. Mbona unautesa moyo wako wakati hata wanakuzungumza hujawahi kuwaona hata wewe huwafaham kwa sura zao?

Mpaka nimekuonea huruma ulivofura, wewe kula raha, ila zile kwa ustaarabu huku ukitafuta neema na rehema kwa Mungu. Tafta kiasi chaki na uwe na space inayokutosha, ya humu yapuuze tu dada
 
Back
Top Bottom