Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?
Yaani mngeishi kwa kufuata maandiko msingekuwa na mawazo kabisa na mngegundua kwamba hakuna cha malaya wala kidume wote wana dhambi ya uzinzi na uasherati na wote wanakosea hakuna cha jinsia wala maumbile aliyetuumba alishatoa amri na sheria zake kuwa ni dhambi hivyo wanaofanya wafanye huku wakijua kuwa ni dhambi na siyo kutafuta sababu za kuhalalisha hizo dhambi na kusingizia kuwa eti Mungu ameruhusu!
achana na hao, kwani wakikuambia we malaya huwa inakutouch sana?Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.
Nakupendea hilo tu,busara tele.Sema ukweli
Unajua ni ukweli inauma kila mtu??Halafu ninachoshangaa mimi ni mwanamke kuwa na wanaume wengi anaonekana malaya ila mwanaume kuwa na wanawake wengi anaonekana kidume wakati wanaume wanafanya na wanawake hao hao halafu hivi kwanza kwanini watu mnaishi kwa kufuata mitazamo ya jamii?
Yaani mngeishi kwa kufuata maandiko msingekuwa na mawazo kabisa na mngegundua kwamba hakuna cha malaya wala kidume wote wana dhambi ya uzinzi na uasherati na wote wanakosea hakuna cha jinsia wala maumbile aliyetuumba alishatoa amri na sheria zake kuwa ni dhambi hivyo wanaofanya wafanye huku wakijua kuwa ni dhambi na siyo kutafuta sababu za kuhalalisha hizo dhambi na kusingizia kuwa eti Mungu ameruhusu!
Karibu tena jamaniNakupendea hilo tu,busara tele.
Mke si ndio wewe sasa.Nini tena kimetokea toto!
Usipende kuweka moyoni maneno ya kuambiwa mdogo wangu, huyo anayekuletea ndo mbaya na mchonganishi! Wewe yasikilize yaache yapite mamaa. Najua huwa yanaumiza ila kama hauko hivyo unajijua wewe na nafsi yako!
Furaha yako iko mikononi mwako!
Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti kafanya hivi au vile waache masingle ladies mnataka tuishi kama mmetulipia mahari mtukome .
Umalaya mmetushika kwenye danguro lipi ??
Hebu wacheni watu walio masingle wajinafasi .
Sasa ni hivi mkae kujua moja mbili hadi kumi na mbili.
Sio wadada wote wanapenda kukaba watu wahumu wengine wanapenda kujiachia couze wapo single.
KILA MTU HUMU ACHENI UMALAYA KAMA KATOTO KAZURI NA WENGINE WEWE UMEJUAJE MI MALAYA KAMA SIO NYIE MNAONGOZA KWA UKAHABA MMEFUZU UMALAYA MIMI SIPENDI HIZO TABIA ZA KINAFIKI.
Mnajisemea tu kwa maana mnataka kiki tu.Kama malaya Malaya tu hata ukijificha nyuma ya keyboard haitobadilisha maana
Umri unaenda huku unatembea n wanaume za watu jua Kuna sehemu umeshakosea teyar wacha acheze na papuchi hyo.
Savana sinywagi labda redd'sSavana yangapi hiyo mkuu?!
Shindwa walijaribu wengi hadi akina raha leo wakashindwaUtatuliaga tu ukipanda cheo ukiitwa single mother utanyooka
Hii I'd ina jina baya sijawahi kuona we bibie si ungeweka hata Miss hapo mwanzo ndo umalizie na hilo jina la mzizi..Madam demis leta juice na miss Natafuta leta korosho wacha maisha yaendelee
Wale wanaodai nature haiwaruhusu kuwa na mtu mmoja watakuja kukukashfu hapa. Nimekuelewa sana mkuu.
Acha nao katoto karembo live your life usiishi watakavyo waoSasa sio huyo tu hata leo nimepokea notification tumeorodheshwa wengi tu
Nimesoma mpaka nikacheka, Katoto Kazuri acha kukasirika. Fahamu hivi, anayekuudhi mara nyingi huwa hapati maumivu kama anayeumizwa. Mbona unautesa moyo wako wakati hata wanakuzungumza hujawahi kuwaona hata wewe huwafaham kwa sura zao?Ila kila mtu anaandika acheni umalaya kama katoto sijui nani nani ni malaya mwanzoni unapuuzia sasa nimechoka aisee inabidi niulize why kwa maana tokea nijiunge jf sijawahi muona hata mmoja wao halafu wakikudis like this sio fresh lazima niumie.