Sisi ni Watanzania,huruma yetu lazima iwe ya Kitanzania,asema Rais Samia.

Sisi ni Watanzania,huruma yetu lazima iwe ya Kitanzania,asema Rais Samia.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Alipojibu swali kuhusu kumsamehe Mbowe juzi,rais alisema demokrasia yetu ni changa. Tusijilinganishe na wale ambao demokrasi yao ina miaka mia mbili.
Kwa hiyo
unapoongea kuhusu kutaka kumsamehe Mbowe,lazima ufikiri kwanza. Unaweza kumuachia huru yule mtu,halafu ukakuta kwamba you are offending the sensibilities of the Tanzanian savages.
These fears of State House are completely unfounded.
Ikulu imwachie huru Mbowe iwafundishe Watanzania upendo.
Halafi wanasema Mwalinu Nyerere alikuwa Baba wa Ubatizo wa Mbowe. Hiyo sijaweza kuthibitisha.
Lakini Mama Maria na Mzee Julius wamewahi kulala siku moja katika nyumba ya Mbowe(yaani babaake Freeman).
 
Back
Top Bottom