Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

Feitoto ametoka Yanga kwa sababu ya mshahara mdogo..hivyo mhusika hapo ni Yanga.. Simba inahusikaje..halafu wewe siyo Simba tuondolee Utopolo wako hapa.
 
Hakika wewe ni mbumbumbu uliye bobea, Yanga kama taasisi Ipo ndani ya Malengo yake mpaka Sasa...
Kama mambo yenu yanaenda fresh basi acheni kulialia hapa. Endeleeni kumlipa huyo mfanyakazi hewa. Eti amepoteza furaha na yuko mpweke, hahah!!
 
Hautakiwi kwenda kwenye vita ambayo unajua kabisa unashindwa.

Fei alichemka sana labda azam wamuachie hizo 400m aendelee kuzibunya huku kiwango kikishuka ,waje kumkata 2024 huko mkataba wake ukiisha.

Yanga wasimpe Mshahara kabisa.
Yanga hawawezi kusitisha mshahara ghafla na kienyeji, wanachofanya ni kukusanya uthibitisho tu.
 
Kama mambo yenu yanaenda fresh basi acheni kulialia hapa. Endeleeni kumlipa huyo mfanyakazi hewa. Eti amepoteza furaha na yuko mpweke, hahah!!
Taarifa zilizopo Feisal amebadilisha account yake aliyokua akifanyiwa malipo na Yanga Kwaiyo mojakwamoja Yanga wanapata Fursa ya kutoweza kumlipa Feisal na bado ataendelea kutambulika kama mchezaji wa Yanga mpaka mkataba wake utakapo kwisha, Hii inamaanisha ki Sheria Feisal amewasaidia Yanga uku akifikiri amewakomoa.
Hakuna sehemu Yanga wata athirika Kwa kutomlipa Feisal ujira wake wa Kila mwezi.

Feisal alikua mchezaji mzuri lazima Yanga wa huzunike Kwa yaliyo tokea ila Kwa mambo yanavyo kwenda watamsahau kama ilivyo wahi kutokea Kwa baadhi ya wachezaji vipenzi vya mashabiki uko Nyuma.

Miaka ya karibuni Azam au Simba waliwahi kuwachukua Didier Kavumbagu, Frenk Domayo, Mrisho Ngasa, Donald Ngoma, Obrey Chilwa , Haruna Niyonzima, Ibrahimu Hajibu na bado maisha yaliendelea na Yanga kutwaa Mataji.

Bahati Mbaya wengi kama si wote ambao waliondoka vibaya pale Yanga na mpira wao wa kiwango Cha juu ulikwenda kwisha au kupotelea pale Azam au Simba.
 
Kwamba umeshahau mlivyokuwa mnamdanganya eti Fei shikilia hapo hapo. Masimba Si mlijifanya wanasheria wake mkampa na vifungu vya mkataba vinavyoruhusu kurudisha milioni 112 na awe huru, mmeanza kujitoa sasa.

Huyu dogo aliambiwa Sana awe makini akaona raha kupost post insta sasa anajikuta anabaki peke yake waandishi wanachambua wimbo wa Diamond Zuwena sasa na masimba yako bize kutetea jezi zao
Hao simba wewe uliwaona wapi wakimpa fei vifungu vya sheria. Wale mawakili wa fei alipewa na simba?
 
Kwa hiyo mnashukuru mmepata ahueni baada ya Feisal kubadili account? Nyieeee. Mlivyo wapole hamjamtumia barua kweli awatumie account yake mpya?

Umeshafikiria kuwa labda na yeye hataki mumlipe kwa hiyo anawakwepa? Umeshafikiria kuwa kwa matendo yake ni wazi anataka Yanga mumsahau?
 
Kwa hiyo mnashukuru mmepata ahueni baada ya Feisal kubadili account? Nyieeee. Mlivyo wapole hamjamtumia barua kweli awatumie account yake mpya? Umeshafikiria kuwa labda na yeye hataki mumlipe kwa hiyo anawakwepa? Umeshafikiria kuwa kwa matendo yake ni wazi anataka Yanga mumsahau?
Wewe ukiifunga account Yako Ili mwajiliwako asikulipe stahikizako kinachofuata ni timu ku wataarifu wanao simamia tasnia ya soka Ili baaadae isilete shida kwenye maslahi ya Taasisi Yako.
 
Yanga wanamuhitaji Feisal kuliko Feisal anavyowahitaji Yanga. Kama amekosea na amewagomea vipi mbona mnaendelea kumlipa mshahara wake wa aftatu na hamjamuadhibu wakati siku zinakwenda na nyie mnahitaji huduma zake?

Dogo kakaza, wanasiasa na waganga wa Yanga wamenywea.
Ungejua dogo yupo kwenye hali gani usinge ongea haya maneno
 
Wewe ukiifunga account Yako Ili mwajiliwako asikulipe stahikizako kinachofuata ni timu ku wataarifu wanao simamia tasnia ya soka Ili baaadae isilete shida kwenye maslahi ya Taasisi Yako.
Kwa hiyo kwa mtazamo wako unadhani Feisal anawawekea mtego ili aje awashtaki kwa kutomlipa mshahara wake wa aftatu? Kweli Yanga imejaa mawakili wasomi.
 
Hautakiwi kwenda kwenye vita ambayo unajua kabisa unashindwa.

Fei alichemka sana labda azam wamuachie hizo 400m aendelee kuzibunya huku kiwango kikishuka ,waje kumkata 2024 huko mkataba wake ukiisha.

Yanga wasimpe Mshahara kabisa.
Mkataba wa fei hauwezi kuisha 2024 sababu hajautumikia utamdai huko mbele kifupi ni kwamba ameyakanyaga
 
Back
Top Bottom