Kama mambo yenu yanaenda fresh basi acheni kulialia hapa. Endeleeni kumlipa huyo mfanyakazi hewa. Eti amepoteza furaha na yuko mpweke, hahah!!Hakika wewe ni mbumbumbu uliye bobea, Yanga kama taasisi Ipo ndani ya Malengo yake mpaka Sasa...
kweli mkuu ndo maana mechi 9 za ligi bila faisal tumepigwa zote
mechi zote tunapigiwa mpira nkubwa
Yanga hawawezi kusitisha mshahara ghafla na kienyeji, wanachofanya ni kukusanya uthibitisho tu.Hautakiwi kwenda kwenye vita ambayo unajua kabisa unashindwa.
Fei alichemka sana labda azam wamuachie hizo 400m aendelee kuzibunya huku kiwango kikishuka ,waje kumkata 2024 huko mkataba wake ukiisha.
Yanga wasimpe Mshahara kabisa.
Taarifa zilizopo Feisal amebadilisha account yake aliyokua akifanyiwa malipo na Yanga Kwaiyo mojakwamoja Yanga wanapata Fursa ya kutoweza kumlipa Feisal na bado ataendelea kutambulika kama mchezaji wa Yanga mpaka mkataba wake utakapo kwisha, Hii inamaanisha ki Sheria Feisal amewasaidia Yanga uku akifikiri amewakomoa.Kama mambo yenu yanaenda fresh basi acheni kulialia hapa. Endeleeni kumlipa huyo mfanyakazi hewa. Eti amepoteza furaha na yuko mpweke, hahah!!
Hao simba wewe uliwaona wapi wakimpa fei vifungu vya sheria. Wale mawakili wa fei alipewa na simba?Kwamba umeshahau mlivyokuwa mnamdanganya eti Fei shikilia hapo hapo. Masimba Si mlijifanya wanasheria wake mkampa na vifungu vya mkataba vinavyoruhusu kurudisha milioni 112 na awe huru, mmeanza kujitoa sasa.
Huyu dogo aliambiwa Sana awe makini akaona raha kupost post insta sasa anajikuta anabaki peke yake waandishi wanachambua wimbo wa Diamond Zuwena sasa na masimba yako bize kutetea jezi zao
Wewe ukiifunga account Yako Ili mwajiliwako asikulipe stahikizako kinachofuata ni timu ku wataarifu wanao simamia tasnia ya soka Ili baaadae isilete shida kwenye maslahi ya Taasisi Yako.Kwa hiyo mnashukuru mmepata ahueni baada ya Feisal kubadili account? Nyieeee. Mlivyo wapole hamjamtumia barua kweli awatumie account yake mpya? Umeshafikiria kuwa labda na yeye hataki mumlipe kwa hiyo anawakwepa? Umeshafikiria kuwa kwa matendo yake ni wazi anataka Yanga mumsahau?
Kina Mangungu haoWanasiasa kwa kushirikiana na viongozi wa TFF ndio wamemsaliti Fei Toto.
Shirikisho la Mpira linaongozwa kihuni na wahuni kuua vipaji vya wachezaji wetu na mpira wetu.
Ungejua dogo yupo kwenye hali gani usinge ongea haya manenoYanga wanamuhitaji Feisal kuliko Feisal anavyowahitaji Yanga. Kama amekosea na amewagomea vipi mbona mnaendelea kumlipa mshahara wake wa aftatu na hamjamuadhibu wakati siku zinakwenda na nyie mnahitaji huduma zake?
Dogo kakaza, wanasiasa na waganga wa Yanga wamenywea.
Kwa hiyo kwa mtazamo wako unadhani Feisal anawawekea mtego ili aje awashtaki kwa kutomlipa mshahara wake wa aftatu? Kweli Yanga imejaa mawakili wasomi.Wewe ukiifunga account Yako Ili mwajiliwako asikulipe stahikizako kinachofuata ni timu ku wataarifu wanao simamia tasnia ya soka Ili baaadae isilete shida kwenye maslahi ya Taasisi Yako.
Kajitega mwenyewe.Kwa hiyo kwa mtazamo wako unadhani Feisal anawawekea mtego ili aje awashtaki kwa kutomlipa mshahara wake wa aftatu? Kweli Yanga imejaa mawakili wasomi.
Msome mwenzio hapo juu anasema Feisal anajiharibia kwa sababu waajiri wake huko mbele wanaweza kuwa na wasiwasi naye. Hili somo linawahusu wengi.Sasa hivi wamehamia Sportpesa wana chambua mikataba
Mkataba wa fei hauwezi kuisha 2024 sababu hajautumikia utamdai huko mbele kifupi ni kwamba ameyakanyagaHautakiwi kwenda kwenye vita ambayo unajua kabisa unashindwa.
Fei alichemka sana labda azam wamuachie hizo 400m aendelee kuzibunya huku kiwango kikishuka ,waje kumkata 2024 huko mkataba wake ukiisha.
Yanga wasimpe Mshahara kabisa.
Kajitega na kweli kategeka. Maskini Feisal kipaji chake ndiyo kinakufa hivyoo wakati wenzie wako Tunis wanakula pesa ya Haier tu!Kajitega mwenyewe.
Ndiyo ujue kweli yanga wamejaa mazuzu tupu, ishu ya Feislal na mwajiri wake Simba inahusikaje hapo?Simba inahusika vp hapo?
Hadi wanasheria nao akapewaHao simba wewe uliwaona wapi wakimpa fei vifungu vya sheria. Wale mawakili wa fei alipewa na simba?