Sisi Simba SC na wachambuzi uchwara tumemponza Fei Toto

Nilimuandikia hvyo hvyo Jana kwenye account yake aliyotoka kuipost

Rooho yake inamuuma mno na kujuta kimya kimya

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Na leo tukipata walau point moja tu ndo tunamzika mazima
 
Hautakiwi kwenda kwenye vita ambayo unajua kabisa unashindwa.

Fei alichemka sana labda azam wamuachie hizo 400m aendelee kuzibunya huku kiwango kikishuka ,waje kumkata 2024 huko mkataba wake ukiisha.

Yanga wasimpe Mshahara kabisa.
yanga hawataki yawe ya msuva, wanampa tu mshahara baadae wapate ground ya kumchapa vizuri, suala la fei toto lingekuwa halihusiani na hujuma yanga wangemuachia, ila timu mbili zimeungana kuhujumu mbio za ubingwa za yanga.
 
Wewe ukiifunga account Yako Ili mwajiliwako asikulipe stahikizako kinachofuata ni timu ku wataarifu wanao simamia tasnia ya soka Ili baaadae isilete shida kwenye maslahi ya Taasisi Yako.
Huyo anayemshahuri feisal ni mjinga wa mwisho na kama ni mwanasheria lazima uquestion uwezo wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…