dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Nilimuandikia hvyo hvyo Jana kwenye account yake aliyotoka kuipostKwamba umeshahau mlivyokuwa mnamdanganya eti Fei shikilia hapo hapo. Masimba Si mlijifanya wanasheria wake mkampa na vifungu vya mkataba vinavyoruhusu kurudisha milioni 112 na awe huru, mmeanza kujitoa sasa.
Huyu dogo aliambiwa Sana awe makini akaona raha kupost post insta sasa anajikuta anabaki peke yake waandishi wanachambua wimbo wa Diamond Zuwena sasa na masimba yako bize kutetea jezi zao
Rooho yake inamuuma mno na kujuta kimya kimya
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app