Uchaguzi 2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

Uchaguzi 2020 Sisi sio wajinga, Ulipochukua tu madaraka ukaanza na kubomoa nyumba zetu!

Ndege wa Rangi Moja...
Mkuu pole sana,

Kwa uliyotaja yanafikirisha yanaumiza ni wachache watakuelewa.

Napata wakati mgumu kujiuliza kwa nini wengine wanaona ni Heri akaendelea kutukanyaga.
 
Tuliobomolewa nyumba Kimara tukutane HAPA
Tuliofukuzwa kama mambwa ofisini kisa eti vyeti feki, wengine tumelitumikia Taifa hili kwa zaidi ya miaka 25, tukaondoka bila hata mia, tukutane HAPA.
 
Ungesema wewe siyo mjinga. Badala ya kuongelea nafsi ya mtu.

Mimi sipo hapo kwenye “Sisi”
Kwa hiyo wewe ni mjinga ndio maana yake. Asante kwa taarifa. Nitakariri ID yako feki hiyo for future reference. Best regards.
 
Mimi so mjinga ndugu yangu alitekwa ukamwambia amejiteka mwneyeye aliokotwa Cocobeach kwenye gunia kashafariki.
 
Ungesema wewe siyo mjinga. Badala ya kuongelea nafsi ya mtu.

Mimi sipo hapo kwenye “Sisi”
Unamaanisha wewe ni mjinga?Mtoa mada amekataa kufanywa mjinga,wewe na nani mnapenda kuonekana wajinga?
 
Hela zilizochangwa kwa wahanga bukoba ni nyingi sana kuliko ukarabati alioufanya nyingi zimepigwa zingetosha kuwajengea nyumba za kisasa wahanga wote na chenji ingebaki. Hivo atueleze zipo wapi zingine mbona yaliyofanyika ayaendani na pesa zilizochangwa. Arudishe chenji
Hiv miundombinu gan alikarabati bukoba?

Maana hata stendi ya bukoba haijajengwa hata Leo kisa bukoba ina upinzani
 
Eti magufuli anatuambia “nataka Tanzania iwe kama ulaya”? Yaani unataka Tanzania iwe kama kwa mabeberu au Watanzania wenyewe wawe mabeberu?
 
Nimesema waliovunjiwa nyumba wamelipwa? Kama husomi magazeti na kuangalia Tv, nenda kanyonye maana unasumbua watu.
kwanini hua mnawadharau mama zetu ambao waliwanyonyesha na nyie au wewe mwenzetu ulikunywa mbege badala ya maziwa, wanawake wamekua waathirika wakubwa wa udhalilishwaji, juzi mmewaita malaya..anyway... hayo magazeti na tv ndio source kwako

na ni magazeti yapi hayo ambayo most hua wanaandika kwa influence ya siasa na hofu.

kwaheri.



Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Kama ulijenga kwenye hifadhi ya barabara lazima ubomolewe tu hakuna namna! Ndiyo nyinyi mliokuwa mnatumia pesa zenu za wizi kujenga popote tu kwa sababu ya pesa zenu za wizi. Mtaendelea kuisoma namba mpaka mkome!
Mkuu una ushahidi kua wote waliojenga na kuvunjiwa nyumba zao walijenga kwa kutumia hela ya wizi?

Je wangekua wazazi wako au wewe umevunjiwa nyumba..sasa hivi ungekua katika hali gani..au sababu hao waliovunjiwa hawakuhusu mana ni takataka kwako sio..
 
Back
Top Bottom