Nani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".
Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.