Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Sisi tunajenga kwa pesa za ndani!

Hiyo ni pale unapouza Government bonds pekee, kwasasa hiyo pesa haiko specified, lakini ukichukua mkopo, lazima uonyeshe wapi utatumia na utarudishaje, yaani project viability, ili lender aweze kufanya risk assessment ambayo itamsaidia kuamua interest rate na gharama za insurance.
Are bonds not a way of borrowing from the public?
 
Halafu pesa kukosa thamani ni kitu cha ovyoo sana, kwa Tanzania matrilioni hutajwa kama hela ya mboga jameni, mara unaskia ufisadi wa Tshs 1.5 trillion

Sasa hela ya ndani huku wanatunisha deni la taifa, ukizingatia bado ni maskini wa kutupwa ndani ya LDC.
Maskin ww mwenye percentage kubwa ya wakosa ajira kufikia 43% ,maskin wewe maden yaliyokuzid kuwa mentioned kiasi cha kwamba unaongoza kwa kudaiwa EAC ,maskin ww mkenya mwenye njaa Turkana miaka nenda miaka rudi
 
That is according to the nations law...he was saying that financial institutions cannot lend...for them they lend based on ability to payback.. and btw how transparent is the treasury ? how would you know they don't divert some monies to other items??
Jubilee breaking the laws is kawaida sana. Thats why there was controversy on Eurobond, no one knows including the auditor general which specific invesments were done with eurobond..The cash was channeled to ministries like agriculture education defence etc where it was "eaten"
 
That is according to the nations law...he was saying that financial institutions cannot lend...for them they lend based on ability to payback.. and btw how transparent is the treasury ? how would you know they don't divert some monies to other items??
Ni kweli baadhi ya banana republic kama Kenya, huwa treasury anashirikiana na rais kugeuza matumizi ya pesa, lakini hilo ni kosa kisheria, na inapaswa Bunge liwe imara kuhakikisha pesa inatumika kama ilivyoifhinishwa na Bunge, iwapo internal control mechanism ya nchi itashindwa, hiyo nchi inawekwa katika kundi la nchi zisizoaminika, hivyo kushusha " its credit worthiness"
 
Are bonds not a way of borrowing from the public?
Nadhani nikupe shule kidogo.
Bond ni kama vile kuweka rehani kifaa chako, ukiwa na shida, unaweza kumpekekea mtu Simu yako aishike kama dhamana ili akukopeshe pesa utimize shida zako, hapaswi kukuuliza Sana kuhusu natumizi ya pesa yako, japo ni mkopo.
 
Hivi kuna siku mmeambiwa kua hatukopi tena?Sawa sisi masikini ni lini Kenya imekua tajiri?Unatia aibu sana na hoja zako zakukurupuka!

Hehehehe!!! Mbona limekukuta wewe huko kichakani, nilijua mpo wengi....
 
Nani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".

Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.
Mkubwa una hakika SGR mnatumia pesa zenu za ndani?
 
Hehehe. Pongezi Danganyika. The only Kantre in the world ambayo inajenga wakitumia pesa za ndani Kama loans za Barclay's
 
Nadhani nikupe shule kidogo.
Bond ni kama vile kuweka rehani kifaa chako, ukiwa na shida, unaweza kumpekekea mtu Simu yako aishike kama dhamana ili akukopeshe pesa utimize shida zako, hapaswi kukuuliza Sana kuhusu natumizi ya pesa yako, japo ni mkopo.
I don't education on that, i think you are now educating yourself , i asked you , is it not one of the methods the govt uses to borrow money????
 
Ni kweli baadhi ya banana republic kama Kenya, huwa treasury anashirikiana na rais kugeuza matumizi ya pesa, lakini hilo ni kosa kisheria, na inapaswa Bunge liwe imara kuhakikisha pesa inatumika kama ilivyoifhinishwa na Bunge, iwapo internal control mechanism ya nchi itashindwa, hiyo nchi inawekwa katika kundi la nchi zisizoaminika, hivyo kushusha " its credit worthiness"
Between TZ and KE which is a banana republic when it comes to transparency ...didn't your dictator order soldiers to buy Korosho on the road side,, was there a budget item?? was he questioned ??

Uhuru jambo kama hilo hawezi kufanya..
 
Mbona anafanya mengi ya hovyo lakini hamumfanyi kitu??? Hivi hayo maufisadi na mirushwa Kenya rais wenu angekua serious Mbona mngekua mbali sanaa BT rais Uhuru mwenyewe anawaogopa mafisadi saa sijui nani atamfunga paka kengele
 
I don't education on that, i think you are now educating yourself , i asked you , is it not one of the methods the govt uses to borrow money????
''You don't education'' hahahahaha lugha za watu hizi jamani kwani ukiandika kiswahili unahisi tutasema hujasoma hahahahah
 
Hahahahaha, mnajiliwaza, mbona wachina wamewakatalia baada ya kuona hamuwezi kulipa?, mbona IMF imeshawanyoishea "red flag", mbona mnakopa ili kulipa madeni ya nyuma?, mbona mnakopa ili Ku support your National budget?, Mbona mchina alipowakatalia kuwapa pesa mumeshindwa kumalizia kipande kilichobaki kifupi sana toka Naivasha hadi Kisumu, matokeo yake mumeitelekeza reli yenu porini?. Ninyi ni purely failed state Nation.
Sawa, wacha sisi tuendelee kuomba mikopo. Nyinyi endeleeni kuomba misaada.
 
Nani aliyesema Tanzania hatukopi?, tuna sema katika miradi mikubwa hii ya ujenzi wa SGR, Rufiji hydroelectricity na Dar- Kibaha Super highway, tunatumia pesa yetu. Bado tunakopa katika miradi mingine, kumbuka Tanzania sio hiyo miradi mitatu pekee, kuna kusambaza MAJI, umeme na gas mijini na vijijini, barabara, madaraja kama la "New slender bridge".

Kitu muhimu ni kwamba tunajatibu sana kupunguza mikopo hasa " commercial loans', ndio sababu hadi leo Debt/GDP ni chini ya 40%, ambacho ni kiwango cha juu kinachopendekezwa kwa developing countries, wakati Kenya ipo kwenye 60% sasa, ni Hatari sana kwa Kenya.
Miradi zipi mnatumia pesa za ndani? Kama TRA inakusanya trillion 14 hamjawahi kuvuka hapo ,deni trillion 9 , mshahara trillion 7 mna nakisi ya trillion 2 mbona hamuambii watanzania Ukweli ?,hizo pesa za SGR ,Rufiji,kibaha highway zinatoka wapi? Nyie Serikali ya awamu ya tano mbona hamuambii watanzania Ukweli? Eti kua mzalendo ni kuishi kwenye umasikini , mbona wale viongozi wenu wanaendesha V8 , kwani sio wazalendo ? Mseme Ukweli muache huu ushabiki wa kijinga Tanzania hali si nzuri ,kule mtwara ,Lindi ,njombe wafanya biashara wanafunga biashara halafu wakilalama wanaambiwa eti walikua wapiga dili.
 
Back
Top Bottom