Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

Hakuna kitu kama hicho,hata kama hamkunaliani ila aliyepitishwa ndio unalazimika kumpigia debe na si vinginevyo.
 
Kila zama na kitabu chake!

Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.

Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.

CCC ni chama cha Dunia Bwashee…
Tutaondoka Tutakiacha bwashee…Waambie bwashee[emoji3516][emoji851][emoji30]
 
Acha wawe wafuasi wake,,sisi tunaenda another way with Samia.
 
CCM mbona ilimshangilia hadi ikampitisha kugombea muhula wa pili kwa kishindo na tena kutaka aongezewe muda wa mihula mingine zaidi kwa lazima?
Hahaha ndugu, wana CCM wana moja kitu kikubwa sana, nacho ni uhimilifu na kuvumilia.
 
Poleni kwa kuumizwa lakini kusema ukweli hakuwa kiongozi anayefaa kuongoza taasisi ya urais,alifaa kuwa nyapala wa barabara.
 
Subirini "birthday" ya kifo chake inakaribia, mkalalamike huko Chattle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…