The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa MKapa awamu ya kwanza ilikuaje? Hiyo ni kawaida kwenye uchaguzi mpya.Lkn mliponea chupuchupu 2015. Asingekuwa huyo unayemtukana sisiem ingekuwa historia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa MKapa awamu ya kwanza ilikuaje? Hiyo ni kawaida kwenye uchaguzi mpya.Lkn mliponea chupuchupu 2015. Asingekuwa huyo unayemtukana sisiem ingekuwa historia.
Hakuna kitu kama hicho,hata kama hamkunaliani ila aliyepitishwa ndio unalazimika kumpigia debe na si vinginevyo.Mkuu unajua maana ya chama cha siasa? chama cha siasa kipo defined na princiles ambazo zinakiamini ambazo ndizo hutumia kushawishi wananchi na wananchi wakakipa madaraka. Kama Samia na Magufuli walikuwa chama kimoja na tena kweny tiketi moja ya mtu na makamo wake basi imani ya ya kisiasa ilitakiwa kuwa moja, kama sivyo basi mtuamb ia CCM sio chama cha siasa, ni kusanyiko tu la watafuta fursa
Jk aliwafaidi nadhani, maana kipindi chake mligawana fedha hadi mkabeba kwenye Masandarusi😊😊😊😊😊Kwani ni uongo? Fedha zimejaa ndio ila sio za Mgao ,ni kujenga ushawishi.
Kati ya JK na wengine yupi alitufaidi hapa Tzn?
Kama wewe ulivyopigwa chini na Kubenea!Nasikia polepole mmeachana??
Ndio,tukuuze na wewe ,kwa Mwendazake ulifaidi nini? Au maneno ya uzalendo? 😁😁Jk aliwafaidi nadhani, maana kipindi chake mligawana fedha hadi mkabeba kwenye Masandarusi😊😊😊😊😊
Umemjibu vyema sana vijana hawajui CCM ndio Deep State.Kila zama na kitabu chake!
Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.
Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.
Kila zama na kitabu chake!
Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.
Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.
Ndio,tukuuze na wewe ,kwa Mwendazake ulifaidi nini? Au maneno ya uzalendo? 😁😁
Kila zama na kitabu chake!
Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.
Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.
Acha wawe wafuasi wake,,sisi tunaenda another way with Samia.Mtu alishakufa mnajifanya wafuasi wake kwa hiyo mnaongozwa na mzimu? Nyerere mwenyewe alipokufa aliibuka Kikwete akajiita JK watu wakaaminishwa eti alikuwa mwanafunzi wa Nyerere na mfuasi wa Nyerere Ila alichokuja kufanya anajua mwenyewe.
Same as nyie mnaojifanya wafuasi wa mfu, Magufuli is dead so as his doings, beliefs and legacies.
It's high time for you to come back to your senses and get used to the new system coz things will never be the same again.
Hapo umeongopa wazi wazi, Magufuli alikuwa haendi ulaya.Hata magu alikuwa anaenda kuomba kimyakimya
Sema Mimi Sio sisiAcha wawe wafuasi wake,,sisi tunaenda another way with Samia.
AlibebwaLkn mliponea chupuchupu 2015. Asingekuwa huyo unayemtukana sisiem ingekuwa historia.
Hahaha ndugu, wana CCM wana moja kitu kikubwa sana, nacho ni uhimilifu na kuvumilia.CCM mbona ilimshangilia hadi ikampitisha kugombea muhula wa pili kwa kishindo na tena kutaka aongezewe muda wa mihula mingine zaidi kwa lazima?
Wewe ni mpumbavuKila zama na kitabu chake!
Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.
Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.
Nime elewa zaidi hiyo line huko kwingine imetokea tu nikajikuta nmesomaget used to the new system coz things will never be the same again.
Kamanda mbwakachoka!Wewe ni mpumbavu
CCM ina viongozi wajinga sana wanaturudisha era ya JK.Kila zama na kitabu chake!
Ccm ni chama kikubwa chenye mkusanyiko chanya wa fikra.
Tofauti na Chadema ambayo bila Freeman Mbowe hakuna chama.