Sisi wafuasi wa Hayati Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Rais Samia

sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura....
Ccm ni genge la wapigaji tu,kama zilivyokuwa tawala za Mali,Ivory coast,Burkinafaso,natamani hili genge lipinduliwe na jeshi,tuanze upya,hata jeshi na lenyewe wale wakubwa wake wanakula na hili genge,lakini Bora hii mijitu ipinduliwe tuanze upya
 
Kwenye hiyo clip, kwa nini wananchi wanapeperusha bendera za Ufaransa, badala ya bendera yetu ya taifa?
 
Kasema"tulixho
sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura...

Kasema "tulichokozana na umoja wa ulaya miradi ikakwama".

Sasa wapi kamtaja shetani JPM?ametumia Wingi,kuonyesha ilikuwa ni "corrective responsibility" ya Serikali nzima,hakuna Sehemu JPM katupiwa zigo.

Tatizo wafuasi wa JPM Bado mnaisi mpo ndotoni,mnawaza JPM anaweza kutokea wakati wowote,hamuamini zama zake zimepita.
 
Mtu alishakufa mnajifanya wafuasi wake kwa hiyo mnaongozwa na mzimu? Nyerere mwenyewe alipokufa aliibuka Kikwete akajiita JK watu wakaaminishwa eti alikuwa mwanafunzi wa Nyerere na mfuasi wa Nyerere Ila alichokuja kufanya anajua mwenyewe...
Ehehe...ujue hata Yesu aliokufa wafuas woote walisepa...😂😂 alipofufuka akaanza kuwachek tena upya mmoja baada ya mwingine "oya mko wapi nyie" 😁
 
Na itikadi ya CCM ni ipi, na JPM aliitekeleza vipi kiasi cha kuona ndo alikuwa sahihi na Samia ana-miss vipi?

Au ndo ile mkikutwa mmejiopanga barabarani mnaambiwa nchi hii ni tajiri na hatuhitaji misaada wakati uhalisa ni:-

Tunachopaswa ni kushukuru Mungu na aidha kumsaidia mama au kutuliatu.
Haiwezekani kulazimisha mama kufuata njia za Magufuli,kama ilivyoshindikana kulazimisha Magufuli kufuata njia za Jakaya
Tukubaliane na mapenzi ya Mungu jamani
 
Si ufe tu!
 
You're a victim of 5 years lies, na uongo wa serikali ukakuingia sawasawa!!

Another victim of 5 years lies ambae alikuwa anadanganywa hadi akaamini kwamba Bwawa la Nyerere mambo yalikuwa FIRE enzi za JPM kumbe uhalisia ulikuwa:-
Na hata wakati mnadanganywa kwamba tulikuwa hatuhitaji misaada kumbe uhalisia ni

Leo hii mkisikia LNG Project mnatoa poa coz' mlidanganywa ule ni mradi wa kifisadi kabisa ndo maana JPM akaachana nao kumbe ukweli ni:-
 
sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura...
Ukishaamini wazungu, HUNA CHAKO TENA. Umeshajifelisha.
 
Kama mna akili timamu na alikua anafanya vitu vya karne ya 20 mkaona ni sawa hamkua na tofauti naye ya ukichaa.

Nilishangaa ile siku anamzuia daktari kufanya kazi sehemu mbili tofauti.

Jamaa yenu alikua zaidi ya mshamba .

Furaha yake ilikua kuona mnaendelea kuwa chini awaite wanyonge na nyie mbaki mkimtukuza kwa sifa asizostahili.
 
sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura....
Ndiyo maana tunaongozwa na wazanzibar na sisi tunashangilia balaa
 
sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura...
Badili ufuasi magu keshakufa
 
sisi wafuasi wa Magufuli tumeumizwa sana na maneno haya ya Samia baada ya kutoka Ulaya, tunauliuza watu hawa walikuwa chama kimoja kweli? Achilia mbali kuwa kwenye ticket moja ya kupigiwa kura...
Yaani kama wewe ni mfuasi wa maiti/mfu/alieoza/msukule hapa tayari ni tatizo.

Utakuwaje mfuasi wa mfu kama wewe sio mfu kichwani!?

Walio hai hawana ushirika na waliokufa labda km ww ni mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…