Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Kwetu Musoma, Shirati Rorya sijawahi kufika. Ila kijijini kwetu kuna Wajaluo wengi tu, hivyo mila zao huwa naziona.
Meno yalikuwa yanatolewa sita za chini. Na hiyo imefanyika mpaka early 1970s . Baada ya operation vijiji lilikoma.

Ila makabila ya musoma mnazungumza sana. [emoji16][emoji23][emoji1787]. Yego , waikaki ?
 
Mimi ni Mzanaki.

Musoma Mjini wengi ni Wajita na Wajaluo wako Rorya karibu na Tarime kwa Wakurya

Hivi beef la Wajaluo na Wakurya limeisha ?

Halafu inakuwaje wajaluo ambao wana beef na wakurya wote kukaa Kitunda, mtataka kuhamishia vita yenu huku Dar🤣
 
Mimi ni Mzanaki.

Musoma Mjini wengi ni Wajita na Wajaluo wako Rorya karibu na Tarime kwa Wakurya

Hivi beef la Wajaluo na Wakurya limeisha ?

Halafu inakuwaje wajaluo ambao wana beef na wakurya wote kukaa Kitunda, mtataka kuhamishia vita yenu huku Dar[emoji1787]
Ahahahaaaa [emoji16]. Hao jirani zetu ni wezi sana wa mifugo. Wamemetutia umasikini .

Kumbe wewe ni akina "warere & waindire". Mko poa sana
 
Back
Top Bottom