Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Binadamu wote akili tunazo ila tunatofautiana viwango vya ujazo wa hizo akili zetu. Einstein ana akili nyingi sana kunizidi mimi...
Sio kwamba hatuna akili. Yani akili zako naangalia kupitia mabandiko yako kwa hapa jukwaani,but kwny maisha mengine siwezi jua.
 
Ujaluoni , kwa taarifa yako wifi hana sauti . Anarithi kwa mumewe hana urithi kwa Baba & Mama wala kwa kakaake. Lakini anaheshimika nyumbani kwa kuwa ameleta mali (mahari)
Wifi yako hana sauti kwenu au kwao?
 
Wifi yako hana sauti kwenu au kwao?
Wifi hana sauti kwa mke wa kaka yake. Na hawezi kumletea mizengwe wala maneno. Kwa taarifa yako mtoto wa kike ujaluoni ana nguvu kwa mumewe na si kwao alikozaliwa . Huko kwao ni mgeni
 
Back
Top Bottom