Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Daaaah masikini binti angu, yani akule muwa haujamenywa???!!!!Rafiki, siku moja binti yako akija kukwambia amepata mchumba mjaluo utafanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah masikini binti angu, yani akule muwa haujamenywa???!!!!Rafiki, siku moja binti yako akija kukwambia amepata mchumba mjaluo utafanya nini?
Hahahahaaa wale wa vijijini saaaana ndio bado wana tabia hizi ila sisi wa mijini tumestaarabika sanaDaaaah masikini binti angu, yani akule muwa haujamenywa???!!!!
Kwahiyo umekata uzeeni sio?!Hahahahaaa wale wa vijijini saaaana ndio bado wana tabia hizi ila sisi wa mijini tumestaarabika sana
Mbona mimi sio mzee. Mimi bado kijana Evelyn.Kwahiyo umekata uzeeni sio?!
Eti "Wairaqw"? Hili kabila lipo Tanzania hii hii?Wairaqw nao wapo
Nakuelewa usemacho Infantry Soldier . Maana hata Yakobo (Israel) ambaye ni mtoto wa Isaka na mjukuu wa Ibrahim Baba wa Imani naye huyo Yakobo alioa wadada wawili Lea na Raheli watoto wa Baba mmoja Laban ambaye ni mjomba wake.Mambo vp jamiiforums.
Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu.
Wale mliolelewa na mama wa kambo baada ya mama mzazi kufariki bila shaka mnajua kadhia ya kuishi na mwanamke ambaye sio ndugu yako.
Kuna msemo mmoja wa wahenga kwamba, "Mama wa kambo si mama" msemo ambayo upo kinyume kabisa kwa watoto wa kijaluo ambao wamelelewa na mama wa kambo ambaye ni dada/mdogo wake na mama.
Mjomba wangu yupo kijijini huko mkoa wa Mara ana wake watatu. Wawili kati yao ni mtu na dada yake waliozaliwa tumbo moja (Mama yao ni mmoja). Kifo cha mkewe wa kwanza wa mjomba karibu miaka 15 iliyopita ndicho kilichosababisha yeye kujiingiza kwenye ndoa za mitala (kwa kijaluo wanaita "doo"), jambo ambalo ni la kawaida sana kwa jamii ya wajaluo.
Mke wa kwanza mjomba wangu alimwacha uncle na watoto wawili - binti wa miaka sita na mtoto wa kiume, aliyekuwa mwenye umri wa mwaka mmoja tu wakati wa kifo cha mama yake mzazi. Kifo cha mkewe kilimfanya mjomba afikiri kwamba ingekuwa bora ikiwa angekuwa na wake wengi.
Aliamua kuoa wake zaidi kwa sababu ya maumivu aliyoyapata wakati mkewe wa kwanza alipokufa. Alifikiri ingekuwa bora ikiwa angekuwa na wake zaidi ya wawili.
Alioa mkewe wa pili, Aoko, mnamo mwaka 2005 na miezi mitatu baadaye, alioa mke wake wa tatu Akinyi (Hilo Akinyi na Aoko sio majina yao halisi).
Mdogo wake na Akinyi, Anyango (Anyango sio jina lake halisi), alijiunga na familia hii mpya kama dada msaidizi wa kazi za nyumba. Mjomba alikuja kugundua kuwa Anyango alikuwa akifanya kazi za ndani vizuri kama dada yake na akafikiria sasa angeweza kumuoa na kuwa mke wake rasmi.
Mjomba alituma ombi lake kwa dada mtu ambaye ni Akinyi kisha akaja kwa mdogo mtu ambaye ni Anyango, na alikubali kuwa mkewe wa tatu na wazee wa kimila wakapitisha hilo.
Wazazi wao na kaka zao hawakuwa na shida na hata wazee walimkubalia bila pingamizi lolote lile. Mjomba wangu kisha alimpangishia Anyango nyumba karibu na Akinyi huko Tarime, ambapo mke mwingine pia anaishi umbali wa mita kama 600 tu kutoka kwa hawa wake wenzake.
Wazee wa kimila wanasema kwamba, kuoa dada au mdogo mtu ilikuwa ni njia salama kwa mke wa kwanza kwani kuolewa na ndugu yake wa tumbo moja katika ndoa za wake wengi kuna uwezekano mdogo wa kusababisha uhasama mkali kati ya wake wenza.
Ikiwa mke wa kwanza hakuwa na uwezo wa kuzaa au alizaa tu wasichana, mume alimshawishi mke wake wa kwanza kuoa dada yake kwa tumaini la kuzaa watoto wa kiume.
Ikiwa mke wa kwanza alikuwa na tabia njema, basi dada huyo alidhaniwa kuwa na tabia hizo hizo kama mdogo/dada yake, ukiachilia mbali suala zima la usalama aliotoa kwa watoto wa ndugu yake ikiwa mke wa kwanza alikufa.
Utaratibu huu pia ulipunguza sana kesi za wajane walio na upweke. Vivyo hivyo, kama mama wa kambo, alikuwa na uwezekano mdogo sana wa kuwadhulumu watoto wa mdogo/dada yake ambaye ni marehemu kwani siku zote waswahili husema damu ni nzito kuliko maji.
Familia zingine zinamtoa dada mdogo kama zawadi kwa shemeji mtu (kama vile mrangi apewe Miss Natafuta hahahahaaa, I'm just kiddin') ambaye ameonyesha 'tabia njema' na kama njia ya kudumisha tabia za kizazi na kizazi (kwa maana siku zote tabia hurithiwa) kutoka kwa mbegu moja kwenda nyingine, pia katika kuhakikisha siri za familia zinahifadhiwa ndani kwa ndani na sio kuzagaa hovyo mitaani.
Busara za wazee wa kale pia ziliona inafaa kwa wanaume kuoa dada wadogo wa wake zao kama njia usalama ya kuwatunza mtu na mkewe, dada yake mkubwa, katika kipindi cha uzee.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Sijasikia mila ya kabila la kitanzania inayokataza hiyo mila, labda ya marekani wanakokataza mke zaidi ya mmoja ila wanaruhusu ndoa jinsia moja. Hata katika Biblia nabii Yakobo alioa mtu na dada yake Bilhah and Zilpah na Mungu akambariki kuwa baba wa taifa la IsraelMambo vp jamiiforums.

Wewe kutosikia haina maana kuwa hakuna. Endelea kujifunza na utapata maarifa zaidi.Sijasikia mila ya kabila la kitanzania inayokataza hiyo mila,
Kwani wewe sio wa kijijini?Hahahahaaa wale wa vijijini saaaana ndio bado wana tabia hizi ila sisi wa mijini tumestaarabika sana
Uji unaitwa "Nyuka" kwa kijaluoWazee wa Uji
kumbe wewe ni mjaluo? ndo maana una akili. Kaka yangu ameoa mjaluo ila ana kiburi sana huyo wi.Uji unaitwa "Nyuka" kwa kijaluo
Binadamu wote akili tunazo ila tunatofautiana viwango vya ujazo wa hizo akili zetu. Kwa mfano mwanasayansi Einstein ana akili nyingi sana kunizidi mimi...kumbe wewe ni mjaluo? ndo maana una akili.
Kama kaka yako ameoa dada yangu mjaluo, itabidi mimi nikuoe wewe ili iwe ngoma droo.Kaka yangu ameoa mjaluo ila ana kiburi sana huyo wi.
Wajaluo hawana viburi. Labda photocopy huyo. Au mnamletea za mawifi [emoji16][emoji1787]kumbe wewe ni mjaluo? ndo maana una akili. Kaka yangu ameoa mjaluo ila ana kiburi sana huyo wi.
Uliza na sisi tupate kujifunza mkuuDoh nna maswali mengi, ila ngoja tu ninyamaze....
Hahaaa ni tabia zake. Ila na uwifi upoWajaluo hawana viburi. Labda photocopy huyo. Au mnamletea za mawifi [emoji16][emoji1787]
Nishawahiwa huko uchagani mkuu 😃😃😃Kama kaka yako ameoa dada yangu mjaluo, itabidi mimi nikuoe wewe ili iwe ngoma droo.
Waambie hao mkuu. Wanawake wa kijaluo huwa ni waungwana sana alafu black beauty. Gi rateng' tiiWajaluo hawana viburi. Labda photocopy huyo. Au mnamletea za mawifi [emoji16][emoji1787]