Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Bila shaka mtakuwa na mataahira wengi ukiachia mbali kuchukuana ndugu kwa ndugu. Juzi nilisikia ndugu yenu Mluhya alimtia mimba mama mkwe wake.
Kuna wengine wanaona kuwa hizi ni mila potofu, lkn wakija mashemeji zao wa kik
e kuishi kwao wanapita nao kimya kimya
 
Ongereni
Ila hamuon kama kuna hatari kwa miaka hii ya sahv
Vituo vya afya vipo mkuu, lakini hata hivyo utaratibu huu siku hizi umebaki kwa wale wanaoishi vijijini ndani ndani huukoooo lakini sio kwa sisi wa huku mijini.
 
Back
Top Bottom