Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Zamani kabla ya watu kuingia kwenye mahusiano walikuwa wanaulizana makabila nilikuwa nashangaa sana, nilikuja kujua umuhimu wake baada ya kujua mila za wajaluo kwenye ndoa na misiba.....ni hatari acheni waoane wao kwa wao hawa wazungu weusi
Kwa miaka ya Sasa watu wamepoteza ule uhalisia wao kutokana na muingiliano wa makabila. So tabia za kabila hazina nguvu kivile.
 
Zamani kabla ya watu kuingia kwenye mahusiano walikuwa wanaulizana makabila nilikuwa nashangaa sana, nilikuja kujua umuhimu wake baada ya kujua mila za wajaluo kwenye ndoa na misiba.....ni hatari acheni waoane wao kwa wao hawa wazungu weusi
Mbona unaandika kama vile msambaa?
 
Back
Top Bottom