Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #21
Hahahahaha hapana bhana. Zambia ndio kuna huo mchezoEti wajaluo huwa hakuna "kumenya muwa" ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha hapana bhana. Zambia ndio kuna huo mchezoEti wajaluo huwa hakuna "kumenya muwa" ni kweli?
Mmh soldier, huko kwenu pia nasikia ni hivo eti, hakuna kupunguza mwili yani....😁Hahahahaha hapana bhana. Zambia ndio kuna huo mchezo
Tabia za Wachagga hiziHivi siku hizi huwa mnatolewa govi?
Nawe kila siku una log offWapuuzi sana wale jamaa
Nalog off
Nimesoma tena uzi wako nimeelewa,ila wajaluo wanapenda sana kupigana pumbu ndugu moja kupigwa pumbu moja hakika sio jambo zito kwa wanawake wa kijaluo.Suala sio wake wengi, issue ni kuwa na wake wengi waliozaliwa tumbo moja.
Log off na wewe basi kama unaona mwenzio anafaidiNawe kila siku una log off
wewe umeoa wangapi?Mwanaume unabaki vipi na mke mmoja?
Kuliko kutangatanga ni bora uoe kabisa wake zako wawili.
Bado sijatulia,nikiamua kutulia naoa wawili,mkemoja ntamuua tu mtoto wa watu.wewe umeoa wangapi?
Bila shaka mtakuwa na mataahira wengi ukiachia mbali kuchukuana ndugu kwa ndugu. Juzi nilisikia ndugu yenu Mluhya alimtia mimba mama mkwe wake.Mambo vp jamiiforums.
Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu.
Wale mliolelewa na mama wa kambo baada ya mama mzazi kufariki bila shaka mnajua kadhia ya kuishi na mwanamke ambaye sio ndugu yako.
Kuna msemo mmoja wa wahenga kwamba, "Mama wa kambo si mama" msemo ambayo upo kinyume kabisa kwa watoto wa kijaluo ambao wamelelewa na mama wa kambo ambaye ni dada/mdogo wake na mama.
Mjomba wangu yupo kijijini huko mkoa wa Mara ana wake watatu. Wawili kati yao ni mtu na dada yake waliozaliwa tumbo moja (Mama yao ni mmoja). Kifo cha mkewe wa kwanza wa mjomba karibu miaka 15 iliyopita ndicho kilichosababisha yeye kujiingiza kwenye ndoa za mitala (kwa kijaluo wanaita "doo"), jambo ambalo ni la kawaida sana kwa jamii ya wajaluo.
Mke wa kwanza mjomba wangu alimwacha uncle na watoto wawili - binti wa miaka sita na mtoto wa kiume, aliyekuwa mwenye umri wa mwaka mmoja tu wakati wa kifo cha mama yake mzazi. Kifo cha mkewe kilimfanya mjomba afikiri kwamba ingekuwa bora ikiwa angekuwa na wake wengi.
Aliamua kuoa wake zaidi kwa sababu ya maumivu aliyoyapata wakati mkewe wa kwanza alipokufa. Alifikiri ingekuwa bora ikiwa angekuwa na wake zaidi ya wawili.
Alioa mkewe wa pili, Aoko, mnamo mwaka 2005 na miezi mitatu baadaye, alioa mke wake wa tatu Akinyi (Hilo Akinyi na Aoko sio majina yao halisi).
Mdogo wake na Akinyi, Anyango (Anyango sio jina lake halisi), alijiunga na familia hii mpya kama dada msaidizi wa kazi za nyumba. Mjomba alikuja kugundua kuwa Anyango alikuwa akifanya kazi za ndani vizuri kama dada yake na akafikiria sasa angeweza kumuoa na kuwa mke wake rasmi.
Mjomba alituma ombi lake kwa dada mtu ambaye ni Akinyi kisha akaja kwa mdogo mtu ambaye ni Anyango, na alikubali kuwa mkewe wa tatu na wazee wa kimila wakapitisha hilo.
Wazazi wao na kaka zao hawakuwa na shida na hata wazee walimkubalia bila pingamizi lolote lile. Mjomba wangu kisha alimpangishia Anyango nyumba karibu na Akinyi huko Tarime, ambapo mke mwingine pia anaishi umbali wa mita kama 600 tu kutoka kwa hawa wake wenzake.
Wazee wa kimila wanasema kwamba, kuoa dada au mdogo mtu ilikuwa ni njia salama kwa mke wa kwanza kwani kuolewa na ndugu yake wa tumbo moja katika ndoa za wake wengi kuna uwezekano mdogo wa kusababisha uhasama mkali kati ya wake wenza.
Ikiwa mke wa kwanza hakuwa na uwezo wa kuzaa au alizaa tu wasichana, mume alimshawishi mke wake wa kwanza kuoa dada yake kwa tumaini la kuzaa watoto wa kiume.
Ikiwa mke wa kwanza alikuwa na tabia njema, basi dada huyo alidhaniwa kuwa na tabia hizo hizo kama mdogo/dada yake, ukiachilia mbali suala zima la usalama aliotoa kwa watoto wa ndugu yake ikiwa mke wa kwanza alikufa.
Utaratibu huu pia ulipunguza sana kesi za wajane walio na upweke. Vivyo hivyo, kama mama wa kambo, alikuwa na uwezekano mdogo sana wa kuwadhulumu watoto wa mdogo/dada yake ambaye ni marehemu kwani siku zote waswahili husema damu ni nzito kuliko maji.
Familia zingine zinamtoa dada mdogo kama zawadi kwa shemeji mtu (kama vile mrangi apewe Miss Natafuta hahahahaaa, I'm just kiddin') ambaye ameonyesha 'tabia njema' na kama njia ya kudumisha tabia za kizazi na kizazi (kwa maana siku zote tabia hurithiwa) kutoka kwa mbegu moja kwenda nyingine, pia katika kuhakikisha siri za familia zinahifadhiwa ndani kwa ndani na sio kuzagaa hovyo mitaani.
Busara za wazee wa kale pia ziliona inafaa kwa wanaume kuoa dada wadogo wa wake zao kama njia usalama ya kuwatunza mtu na mkewe, dada yake mkubwa, katika kipindi cha uzee.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mmh soldier, huko kwenu pia nasikia ni hivo eti, hakuna kupunguza mwili yani....[emoji16]
Kusoma Mambo ya mzungu yanawafanya wanajiona kuwa wanajua kuliko mambabu waliotumia hekima na busara.Mkuu, wazee wa zamani walikuwa na hekima sana. Sema tu jamii za siku hizi hususan vijana ndio wamekengeuka na huu utandawazi.
Shida yenu hamtahiriwi kulala na mjaluo nikama unalala na kitoto cheny kidudu inakera ni bora muoane wenyewe kwa wenyeweMambo vp jamiiforums.
Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja (mama yao mmoja). Mama wa kambo ambaye ni ndugu wa mama mzazi anatunza watoto wa dada yake kwa roho ya upendo sana kuliko mama wa kambo ambaye si ndugu.
Wale mliolelewa na mama wa kambo baada ya mama mzazi kufariki bila shaka mnajua kadhia ya kuishi na mwanamke ambaye sio ndugu yako.
Kuna msemo mmoja wa wahenga kwamba, "Mama wa kambo si mama" msemo ambayo upo kinyume kabisa kwa watoto wa kijaluo ambao wamelelewa na mama wa kambo ambaye ni dada/mdogo wake na mama.
Mjomba wangu yupo kijijini huko mkoa wa Mara ana wake watatu. Wawili kati yao ni mtu na dada yake waliozaliwa tumbo moja (Mama yao ni mmoja). Kifo cha mkewe wa kwanza wa mjomba karibu miaka 15 iliyopita ndicho kilichosababisha yeye kujiingiza kwenye ndoa za mitala (kwa kijaluo wanaita "doo"), jambo ambalo ni la kawaida sana kwa jamii ya wajaluo.
Mke wa kwanza mjomba wangu alimwacha uncle na watoto wawili - binti wa miaka sita na mtoto wa kiume, aliyekuwa mwenye umri wa mwaka mmoja tu wakati wa kifo cha mama yake mzazi. Kifo cha mkewe kilimfanya mjomba afikiri kwamba ingekuwa bora ikiwa angekuwa na wake wengi.
Aliamua kuoa wake zaidi kwa sababu ya maumivu aliyoyapata wakati mkewe wa kwanza alipokufa. Alifikiri ingekuwa bora ikiwa angekuwa na wake zaidi ya wawili.
Alioa mkewe wa pili, Aoko, mnamo mwaka 2005 na miezi mitatu baadaye, alioa mke wake wa tatu Akinyi (Hilo Akinyi na Aoko sio majina yao halisi).
Mdogo wake na Akinyi, Anyango (Anyango sio jina lake halisi), alijiunga na familia hii mpya kama dada msaidizi wa kazi za nyumba. Mjomba alikuja kugundua kuwa Anyango alikuwa akifanya kazi za ndani vizuri kama dada yake na akafikiria sasa angeweza kumuoa na kuwa mke wake rasmi.
Mjomba alituma ombi lake kwa dada mtu ambaye ni Akinyi kisha akaja kwa mdogo mtu ambaye ni Anyango, na alikubali kuwa mkewe wa tatu na wazee wa kimila wakapitisha hilo.
Wazazi wao na kaka zao hawakuwa na shida na hata wazee walimkubalia bila pingamizi lolote lile. Mjomba wangu kisha alimpangishia Anyango nyumba karibu na Akinyi huko Tarime, ambapo mke mwingine pia anaishi umbali wa mita kama 600 tu kutoka kwa hawa wake wenzake.
Wazee wa kimila wanasema kwamba, kuoa dada au mdogo mtu ilikuwa ni njia salama kwa mke wa kwanza kwani kuolewa na ndugu yake wa tumbo moja katika ndoa za wake wengi kuna uwezekano mdogo wa kusababisha uhasama mkali kati ya wake wenza.
Ikiwa mke wa kwanza hakuwa na uwezo wa kuzaa au alizaa tu wasichana, mume alimshawishi mke wake wa kwanza kuoa dada yake kwa tumaini la kuzaa watoto wa kiume.
Ikiwa mke wa kwanza alikuwa na tabia njema, basi dada huyo alidhaniwa kuwa na tabia hizo hizo kama mdogo/dada yake, ukiachilia mbali suala zima la usalama aliotoa kwa watoto wa ndugu yake ikiwa mke wa kwanza alikufa.
Utaratibu huu pia ulipunguza sana kesi za wajane walio na upweke. Vivyo hivyo, kama mama wa kambo, alikuwa na uwezekano mdogo sana wa kuwadhulumu watoto wa mdogo/dada yake ambaye ni marehemu kwani siku zote waswahili husema damu ni nzito kuliko maji.
Familia zingine zinamtoa dada mdogo kama zawadi kwa shemeji mtu (kama vile mrangi apewe Miss Natafuta hahahahaaa, I'm just kiddin') ambaye ameonyesha 'tabia njema' na kama njia ya kudumisha tabia za kizazi na kizazi (kwa maana siku zote tabia hurithiwa) kutoka kwa mbegu moja kwenda nyingine, pia katika kuhakikisha siri za familia zinahifadhiwa ndani kwa ndani na sio kuzagaa hovyo mitaani.
Busara za wazee wa kale pia ziliona inafaa kwa wanaume kuoa dada wadogo wa wake zao kama njia usalama ya kuwatunza mtu na mkewe, dada yake mkubwa, katika kipindi cha uzee.
USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Eti ni kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
Siku ya Kiama lazima uulizwe hiki kipande Kiko wapi? Kama tohara ni lazima Basi tungezaliwa bila govi!Eti ni kweli?
Wacha weeeeSiku ya Kiama lazima uulizwe hiki kipande Kiko wapi? Kama tohara ni lazima Basi tungezaliwa bila govi!
Evaaa....Wacha weeee
Cc Infantry Soldier
Kumbe hiyo ndio sababu, sa si bora mngefanya kama wamasai, inakatwa afu inabaki inaning'inia yani kama kimeegeshwa pembeni, siku ya kiama ukiulizwa unasema hiki hapa.
Nyocha akawi ni rieki richo, kare ija thurwa !!. [emoji16][emoji23][emoji1787]Ni nzuri sana mkuu kama utaweza kumudu gharama za matunzo
Nambie my wangu....Evaaa....
Ondiek, idhi nade? An ja Rorya purelyNyocha akawi ni rieki richo, kare ija thurwa !!. [emoji16][emoji23][emoji1787]