Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Sisi wajaluo mila zetu zinamruhusu mwanaume kuoa wanawake mpaka watatu (3) waliozaliwa tumbo moja

Sijui hii imekaaje katika mila yenu. Kuoana ndugu wa tumbo moja inaweza ikawa na changamoto kiasi,,

Mfano kama familia ina historia ya magonjwa ya kurithi (Mfano Kifafa, Sickle cell anemia, n.k, n.k) na mkaoana ndugu, haya magonjwa yataendelea kusumbua familia kwasababu vinasaba ni vile vile (DNA).

Kuna methali ya Kiswahili inasema " Miti yote utakwea lakini Mtarawanda Utakushinda"

Maana yake... Unaweza kutembea na mwanaume / mwanamke yoyote ila sio kaka / dada yako wa damu.

Nawasilisha.
 
Kanda ya ziwa kuna wanaojiita ni wakristo lakini wanamitala kama yote,

Wakati agizo ndoa ni kuwa ya mke mmoja na mume mmoja,

Hivi huko mnafundishwa kwa kutumia Biblia gani ?

Je huwa mnajifikiria hatima yenu kuwa vipi?
Wana biblia yao imeandikwa kwa Lugha ya kijaluo, hiyo ndo ineruhusu matala.
 
Back
Top Bottom