Hiyo utakulegeza alafu itakimbilia katikati ya miguu...Nimeanza na dompo sijui...siifahamu vizuri walinimiminia tu kidogo.Sijui upo tayari kuaibikaa maana vya kunifundisha ni vingi S...najua mambo ya mikazo tu.Ha ha haa
Tualikane jamani ๐๐Vile mimi binafsi nisivyo zipenda tafrija sikusudii kualika wala kualikwa na yeyote.
Pasaka njema kwenu nyote.
Si ni kufanya tu kwa kuna kingine jaman...au nako natakiwa nipewe maelekezo S?๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ Hiyo utakulegeza alafu itakimbilia katikati ya miguu...
Ila as long as utakua na mimi, hakuna kitakachoharibika...
Unajua nini kwenye mikazo...
Sikuwahi kuzoea hii tokea utoto wangu, zamani sherehe kama ya kesho nilikua nashika jembe kupanda maharagwe huko kijijini, huku mjini nashinda tu home kutwa nzima. So kualika na kualikwa labda kanisaniTualikane jamani [emoji16][emoji16]
Kufanyaje sasa, toa muongozo...Si ni kufanya tu kwa kuna kingine jaman...au nako natakiwa nipewe maelekezo S?
๐ญ embu kwanza ninywe maji aiseeKufanyaje sasa, toa muongozo...
Unaweza kulisha mtaa mzima wewe[emoji1787][emoji1787],japo anza na ndugu jamaa, marafiki na baadhi ya majirani kuwakalibisha nyumbani mle wote, vipato havilingani fanya unaloliwezaKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Na ukilewaga akili zako zinakua hazina akili...๐ญ embu kwanza ninywe maji aisee
๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ usiku mwema SNa ukilewaga akili zako zinakua hazina akili...
Unaukimbia ukweli, face the truth... Hahahaha๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ usiku mwema S
Nimeshindwa kwa kweli๐Unaukimbia ukweli, face the truth... Hahahaha
Acheni uchoyoPhaller wewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Bora umeliona hili๐๐ผโโ๏ธKwema wakuu?
Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu.
Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi ,tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian.
Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia getini kwake na familia yake,ila kiukweli hawa wenzetu waislamu wakiwa na sikukuu zao au hata shughuli zao tu za kifamilia ebana mtaa mzima mtakula na mtasaza chakula.mfano last year ilikua iddy sijui ile yani hapa mtaani ilikua unabembelezewa mualiko,ila sisi wakristo sasa hatuna huo ukarimu.
Tubadilike jamani.
Sawa usiache kukaribia... Hiyo week moja uliyopewa itumie vizuri na mimi...Nimeshindwa kwa kweli๐
Mlafi ni yule anayebana milango na komeo,halafu anaenda kulia chakula chumbani,au anayeacha mageti wazi na kuwakalibisha wageni?Wakristo wenzenu tu waliochoka huwa hamuwakalibishi hata angekuwa jirani yakoKuna dini fulani ni walafi sana, mbona hata sisi huwa tunafunga ila kelele za vyakula hutasikia.
Likizo mwisho j3...ilikuwa ya Siku 5Sawa usiache kukaribia... Hiyo week moja uliyopewa itumie vizuri na mimi...
Sii umeibadilisha mwenyewe...Likizo mwisho j3...ilikuwa ya Siku 5
Siyo Mimi ...ni wakubwa wangu nduguSii umeibadilisha mwenyewe...