Sisi Wananchi halali wa Tanzania, tunatuma Ujumbe na Maombi yetu kwako Rais Samia

Katiba mpya
Katiba mpya bila utekelezaji ni kazi bure. Hata hii katiba iliyopo inampa raisi mamlaya ya kufanya hayo tuliyo muomba. Lakini ndo hivyo tena utekelezaji ni kama vile umekuwa hakuna.
 
Katiba mpya bila utekelezaji ni kazi bure. Hata hii katiba iliyopo inampa raisi mamlaya ya kufanya hayo tuliyo muomba. Lakini ndo hivyo tena utekelezaji ni kama vile umekuwa hakuna.
Umesema hapo kwamba hata hii katiba tuliyonayo inampa mamlaka ya kufanya tuliyomuomba lakini kumbuka kuwa katiba hii haimlazimishi bali imempa tu mamlaka !!
 
Mkuu wangu
Hata usemeje hakuna hata moja litakalofanyika.

Waliofanya hayo ni CCM na ndo uelewe kwa nini chama kinatumia dola kusalia madarakani kwa gharama yeyote hata kuteka na kuua.

Umeongea point muhimu sana. Mpaka muda huu unapoona hakuna kilichofanyika ni jibu tosha kuwa CCM hususani wanaoiwakilisha kwenye dola ni sehemu ya haya madudu.

Tunza kura yako. Mwaka 2025 apate kura ya watu aina ya Lucas mwashambwa lakini kura zetu Watanzania ziende nje ya CCM
 
Usijali raisi Samia ni muelewa na msikivu. Naamini akilipata hili atalifanyia kazi haraka iwezekanavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…