funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati.
Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine.
Tunataka kusikia Issues za electronic currency vs Gold currency.
Tunataka kusikia Medical Tourism ,Cultural tourism and music tourism.
Tunataka kusikia drone technology in the military ,police ,markets and hotels n.k
Tunataka kusikia Urushaji wa satellite
Tunataka kusikia Electric vehicles and robotic science.
Hizi ndio agenda tunazotegemea ziwe ndio mjadala katika kampeni sio upuuzi wa REFORMS za katiba.
Wanasayansi wa nchi hii njooni mbele na issues na kamwe tusitoe nafasi kwa failures walioenda kusomea ungwini.