Great, weka hatimiliki kuthibitisha hayo fastaAgenda ya reform ilikuwa ni agenda ya NCCR
Matombounaishi kijiji gani?
Kenya baada ya Katiba mpya wameishia kula pilau bungeni na kupiga vuatu Rais waoYan nyie kajamaa majinga sana ili tusonge mbele lazima sheria zibadilike kwanza hata wabunge as darasa la saba piga chini wote, tunataka ukiwa tunaongelea AI, ML, PYTHON, na mavitu kama nayo tuwe tunaelewana, zile KENGE zilizoongea upupu leo hakuna hata moja anaweza kung'amua nayo hata Dunia ingeanza upya, stupid kabisa like bunge...CCM INA MATAHIRA WENGI SANA NA UBAYA WA MATAHIRA HUWA HAWAJUI THE MOMENT WANAFUNGUA MDOMO NDIO UJINGA WAO HUWA UNAJIDHIHIRISHA HADHARANI.
Okay sawa kwahiyo tuache wale mataahira waendelee kuongea kama wagonjwa kule bungeni?....are you guys insane?...Kenya baada ya Katiba mpya wameishia kula pilau bungeni na kupiga vuatu Rais wao
wewe umetekwa?au umemezeshwa agenda ?Una takwimu za wanaofariki kwa magonjwa yasiyoambukiza?au ajali au depression,?
Weka ushahidi wa hao wananchi acha kuandika tope hapa kupoteza malengo mkubwa! Hapa matombo na kizimkazi hatujawaona mataahira haoHapo Matombo hakuna miradi ya Maji,Afya na Elimu?
Hapo matombo hawajachagua mwenyekiti wao wa kijiji?
Unazijua kero za wanamatombo toka kijiji kianze je zimeshaisha?