Mnatumia tekinolojia na bidhaa za watu wengine bada mnatawaliwa kifikra, (neocolonialism')Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati.
Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine.
Tunataka kusikia Issues za electronic currency vs Gold currency.
Tunataka kusikia Medical Tourism ,Cultural tourism and music tourism.
Tunataka kusikia drone technology in the military ,police ,markets and hotels n.k
Tunataka kusikia Urushaji wa satellite
Tunataka kusikia Electric vehicles and robotic science.
Hizi ndio agenda tunazotegemea ziwe ndio mjadala katika kampeni sio upuuzi wa REFORMS za katiba.
Wanasayansi wa nchi hii njooni mbele na issues na kamwe tusitoe nafasi kwa failures walioenda kusomea ungwini.
Nasikia bunge la Kenya wanadai hawawezi kuwajibu wabunge wa standard sevensana
Hayo Maendeleo miaka 60 hujaletewa ,bado unaota ndoto?.Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati.
Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine.
Tunataka kusikia Issues za electronic currency vs Gold currency.
Tunataka kusikia Medical Tourism ,Cultural tourism and music tourism.
Tunataka kusikia drone technology in the military ,police ,markets and hotels n.k
Tunataka kusikia Urushaji wa satellite
Tunataka kusikia Electric vehicles and robotic science.
Hizi ndio agenda tunazotegemea ziwe ndio mjadala katika kampeni sio upuuzi wa REFORMS za katiba.
Wanasayansi wa nchi hii njooni mbele na issues na kamwe tusitoe nafasi kwa failures walioenda kusomea ungwini.
Maendeleo ya watu wachache kujilimbikizia mali kupitia kodi zetu, ni ufisadi tu.Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati.
Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine.
Tunataka kusikia Issues za electronic currency vs Gold currency.
Tunataka kusikia Medical Tourism ,Cultural tourism and music tourism.
Tunataka kusikia drone technology in the military ,police ,markets and hotels n.k
Tunataka kusikia Urushaji wa satellite
Tunataka kusikia Electric vehicles and robotic science.
Hizi ndio agenda tunazotegemea ziwe ndio mjadala katika kampeni sio upuuzi wa REFORMS za katiba.
Wanasayansi wa nchi hii njooni mbele na issues na kamwe tusitoe nafasi kwa failures walioenda kusomea ungwini.
Fact ipi wewe kiazi🚮umesikia kutoka kijiweni hapa huwa tunajadili facts
Onesha ni sekta ipi haijapata maendeleo halafu njoo na alternative solution hivi ndivyo inatupasa kujadili agenda za kiuchaguzi.Hayo Maendeleo miaka 60 hujaletewa ,bado unaota ndoto?.
Wabunge watano wa Chadema kipindi hiko walipata umaarufu kupitia agenda ya ufisadi iliyoreflect uhalisia wa kilichokuwa kinatokea na wananchi waliwaunga mkono.Maendeleo ya watu wachache kujilimbikizia mali kupitia kodi zetu, ni ufisadi tu.
Wanao jua kusoma na kuandika tu ina maana hawawezi kuishauri serikali watu wa aina hii hujikita kujipendekeza kwa kusifu na kushangili ama kukandamiza watu wengine na Ndiyo maana wapiga kura wanaitwa kengeNasikia bunge la Kenya wanadai hawawezi kuwajibu wabunge wa standard seven
Wewe nakufananisha na nazi yenye macho ma3 lakini haioni.Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati.
Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine.
Tunataka kusikia Issues za electronic currency vs Gold currency.
Tunataka kusikia Medical Tourism ,Cultural tourism and music tourism.
Tunataka kusikia drone technology in the military ,police ,markets and hotels n.k
Tunataka kusikia Urushaji wa satellite
Tunataka kusikia Electric vehicles and robotic science.
Hizi ndio agenda tunazotegemea ziwe ndio mjadala katika kampeni sio upuuzi wa REFORMS za katiba.
Wanasayansi wa nchi hii njooni mbele na issues na kamwe tusitoe nafasi kwa failures walioenda kusomea ungwini.
Hutaki reform ya katiba ? Hizo agenda zako zitajadiliwa na chawa pale bunge litakapoapishwa baada ya UCHAGUZI.Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.