Sisi wanawake bwana!

Huyo jamaa ni mtoto wa kishia kinoma. Kabla ya ndoa alikuwa akiishi na demu wake so dem alikuwa anaaga anaenda kwao kumbe anaenda kwa jamaa yake... Anakaa weekend
Aisee. Mimi huwa nasema kama ni kugongewa angalau usimjue anayekufanyia hivyo kwani ikitokea nikamjua huwa nakuwa sina amani kabisa.
 
Aisee. Mimi huwa nasema kama ni kugongewa angalau usimjue anayekufanyia hivyo kwani ikitokea nikamjua huwa nakuwa sina amani kabisa.
Hatari sana mkuu. Huyo dem sista du mmoja halafu mrembo kinoma. Jamaa sijui akiwezaje kumsamehe?
 
Kwa Mwanamke...... Usaliti wa Mwanamke mwenzie ni jambo la kawaida...!

Ndo maana Mama kashauri hivyo...!

Mimi nimeshuhudia Dada Mtu na Wifi yake, wanagongwa na Wanaume ambao ni Marafiki!

Yani Wifi Mtu anagongwa na Jamaa, hafu kamuunganishia rafiki wa jamaa kwa Mke wa Kaka yake wa kuzaliwa...!

Ushoga kati ya Mke na Wifi umekolea, Mke asipokuepo Nyumbani, Dada anapiga simu kwa Kaka kwamba Wifi yupo kwake, Kaka anajua Mkewe yupo salama kwa Dada ake, kumbe, wanapelekewa Moto Mtu na wifi yake.
 
huu nao ni wazimu mwenginw
 
aisee sisi hatutajua bwana harusi atakachokiamua had sasa
 
Asimsikilize mtu.

Asepe apotee hewani na kwenye hayo mazingira kama mwezi hivi.

Wazee wa ushauri wakose wa kumpa ushauri.

Akija kurudi jambo litakua limeisha na atagundua kafanya maamuzi ya maana.
ngoja nimuoneshe mshkaji mmoja hii comment hope utakua umeokoza jahazi
 
wewe ni mkristo? unajua kukosa ni ubinadamu ila kusamehe ni utukufu?
 
Huyo mama yupo sahihi, acha afunge bdoa baada ya miezi miwili mitatu ampige chini.
 
Wanapotoka ni karibu kuliko wanapo kwenda bora biashara ife mapema kuliko mapicha picha ya huko mbeleni huyo atarudia tu hilo kosa baadae
 

Ni mkoa gn huo kwanza tuanzie hapo[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…