macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Aisee. Mimi huwa nasema kama ni kugongewa angalau usimjue anayekufanyia hivyo kwani ikitokea nikamjua huwa nakuwa sina amani kabisa.Huyo jamaa ni mtoto wa kishia kinoma. Kabla ya ndoa alikuwa akiishi na demu wake so dem alikuwa anaaga anaenda kwao kumbe anaenda kwa jamaa yake... Anakaa weekend