Sisi wanawake bwana!

Sisi wanawake bwana!

Uyo sio mama mzazi, na kama ni mama kweli basi ana maslahi na harusi.

Ninavyowajua wanawake na wivu, alafu akubali mtoto wake akaoe burudani kwa wote? Hapana.
Ukute mama alishamuonya kijana wake kuhusu hiyo mwanamke,naye hakusikia.
Sasa,kwa hatua waliyofikia mzazi kachoka na usumbufu kijana wake.
 
Kwa jinsi huyo mama alivyojibu ndio utajua kwa nini wanawake ni wengi kwa mwamposa kuliko wanaume men are logical thinker wanawaza mpaka mwisho ila women are emotional feeler wanawaza kwa mda huo huo yanayokuja yeye hayamuhusu.
 
Kwa jinsi huyo mama alivyojibu ndio utajua kwa nini wanawake ni wengi kwa mwamposa kuliko wanaume men are logical thinker wanawaza mpaka mwisho ila women are emotional feeler wanawaza kwa mda huo huo yanayokuja yeye hayamuhusu.
na kwa update ndoa ipo pale pale japp bwana harusi kakataa kata kara kuoa ila mama ameshinda harusi anaifanya hivohivo
 
Urembo na Akili ni maji na mafuta..

Btw, awe na moyo mgumu aamue kutema au kumeza!
 
Mama anapata tabu ya nini? Akubaliane na maamuzi ya mwanae ya kumpiga chini huyo dada kisha jamaa anavuta chombo nyingine ubwabwa unaliwa kama kawaa..! Chapu kwa haraka yani..!
 
mwanaume wa watu yupo njia pnda hajui amfate yupi amsikilize mama yake anayemtishia kama mimi sio mama yako ndoa iko pale pale au baba anayemwambia hakuna ndoa na mahari yetu waturudishie au amsamehe baby wake shetani wamwisho wa mwaka kampitia tu
Huyo kijana ni dhaifu sana
 
kazi anayo yan siipatii picha hili swala litakavyoishia mana kotekote litakavyoishia halina heri ila ubaya utakuja akioa ajiandae na shari za ukoo, yan zikitokea shughuli ukweni hana wa kumkingia kifua halaf kuna wale wa kutaniana mbona ipo kazi
Mama anazingua sana, jamaa amskililze baba aachane kabisa na hiyo kenge hakuna ndoa ya namna hiyo yatatokea mauaji tu baadae.
 
Mama anazingua sana, jamaa amskililze baba aachane kabisa na hiyo kenge hakuna ndoa ya namna hiyo yatatokea mauaji tu baadae.
Hili swala wala sio la kujadiriana na mtu.

Muhusika inatakiwa asepe hilo eneo. Na asipatikane hewani kwa wiki nzima hivi. Wakae wajadiriane wenyewe huko.

Ukirudi unaulizia kama kamati imebakiza chochote uchukue ukafanyie mambo mengine
 
habari zishagaa hakuna mtu asiejua s unajua taarifa mbaya husambaa kwa haraka zaidi sasa kuna haja gani kufosi ndoa kwa scenerio kama hiyo? huku baba anataka warudishiwe mahari huku mama ansema haiwezekani ndoa ipo pale pale
Mama anajua hivyo ni vitu vya kawaida, Mwanae hata apate bint kutoka mbinguni lazima atachepuka tu.
 
kunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah

Kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa na mume wa nduguye tena kakiri si mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake.

Ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu?

Mama yake nae atakua anatafunwa
 
Huyo mama ni danga la mtaa wa kazamoyo. Kataa ndoa ndoa ni u ashraf hakeem
 
Back
Top Bottom