Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipiMleta mada upo kwenye ndoa au bado???
tena sio ya kitotoDuuh kazi ipo.
na vile waswahili wana msemo wao ukiona umefanya jambo bas jua kuna uwezekano mkubwa wa kulifanya tena baadaeWanapotoka ni karibu kuliko wanapo kwenda bora biashara ife mapema kuliko mapicha picha ya huko mbeleni huyo atarudia tu hilo kosa baadae
Ukute mama alishamuonya kijana wake kuhusu hiyo mwanamke,naye hakusikia.Uyo sio mama mzazi, na kama ni mama kweli basi ana maslahi na harusi.
Ninavyowajua wanawake na wivu, alafu akubali mtoto wake akaoe burudani kwa wote? Hapana.
Yes.really?
na kwa update ndoa ipo pale pale japp bwana harusi kakataa kata kara kuoa ila mama ameshinda harusi anaifanya hivohivoKwa jinsi huyo mama alivyojibu ndio utajua kwa nini wanawake ni wengi kwa mwamposa kuliko wanaume men are logical thinker wanawaza mpaka mwisho ila women are emotional feeler wanawaza kwa mda huo huo yanayokuja yeye hayamuhusu.
Huyo kijana ni dhaifu sanamwanaume wa watu yupo njia pnda hajui amfate yupi amsikilize mama yake anayemtishia kama mimi sio mama yako ndoa iko pale pale au baba anayemwambia hakuna ndoa na mahari yetu waturudishie au amsamehe baby wake shetani wamwisho wa mwaka kampitia tu
Eti eeeh[emoji16][emoji16][emoji16]na vile waswahili wana msemo wao ukiona umefanya jambo bas jua kuna uwezekano mkubwa wa kulifanya tena baadae
Mama anazingua sana, jamaa amskililze baba aachane kabisa na hiyo kenge hakuna ndoa ya namna hiyo yatatokea mauaji tu baadae.kazi anayo yan siipatii picha hili swala litakavyoishia mana kotekote litakavyoishia halina heri ila ubaya utakuja akioa ajiandae na shari za ukoo, yan zikitokea shughuli ukweni hana wa kumkingia kifua halaf kuna wale wa kutaniana mbona ipo kazi
Hili swala wala sio la kujadiriana na mtu.Mama anazingua sana, jamaa amskililze baba aachane kabisa na hiyo kenge hakuna ndoa ya namna hiyo yatatokea mauaji tu baadae.
Mama anajua hivyo ni vitu vya kawaida, Mwanae hata apate bint kutoka mbinguni lazima atachepuka tu.habari zishagaa hakuna mtu asiejua s unajua taarifa mbaya husambaa kwa haraka zaidi sasa kuna haja gani kufosi ndoa kwa scenerio kama hiyo? huku baba anataka warudishiwe mahari huku mama ansema haiwezekani ndoa ipo pale pale
kunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah
Kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa na mume wa nduguye tena kakiri si mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake.
Ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu?