Sisi wengine Rais Samia sio mama yetu ni dada yetu

mwinyi jr kawa rais 2020,kauli hiyo mwinyi sr ameitoa siku ya msiba wa jpm.
benz aliikataa kwa taarifa yako.
Unadhani mzee Ruksa angemteta jpm kama mzee makamba na kinana walivyofanya huseni angekuwa rais zanzibar,mwenyekiti angefyeka jina lake asubuhi tu
 
Mdukuzi unamwonea wivu au unamwonea huruma?Kwani hujawahi sikika moto hakui Kwa mama hata kama moto kibabušŸ¤”
 
Mwanamke yeyote kumuita mama sio tatizo

Hukupata malezi mazuri kutoka kwa wazazi inaonekana ulikuwa chokoraa
 
Kwangu mimi huyo ni mtawala. Sio dada yangu wala mama yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…