Sisi wenye GPA chini ya < 2.8 tunatumia njia gani kupata scholarships za nje ya nchi

Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters).

KARIBUNI KWA MSAADA
Lazima usome kwanza postgraduate diploma ili uiboresha hiyo degree yako. Mkiambiwa msome mnakuwa wabishi.
 
mkuu nikisoma postgraduate diploma ndio nakuwa na sifa ya kusoma masters ?
 
Napo kuna issue ya GPA? Postgraduate Diploma in Electronics Engineering and Information Technology unaweza kuwa unaijua mkuu?
Mimi ni general educationist, unaponipeleka katika specifics unanionea tu.
 
mbona akuna sehemu nilio kosea mkuu
Sijui mkuu sikuwa wa kwanza kusoma uzi wako inawezekana wao ndio hawaoni vizuri wanamakengeza ila wanadai ume edit.
Potezea jikite kwenye ushauri wa tatizo lako, wengine humu kazi yao kumtoa mtu kwenye reli unaweza kuta hawana hata diploma halafu wanaponda GPA ya mtu.
 
shukrani sana mkuu
 
Napo kuna issue ya GPA? Postgraduate Diploma in Electronics Engineering and Information Technology unaweza kuwa unaijua mkuu?
Unaweza kusoma post graduate diploma inayoendana na degree yako mfano wewe ukisoma post graduate diploma in information technology pekee inatosha kabisa kusafisha cheti.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Hukuelewa naona! Binadamu hawezi kujua kila kitu kama nyie mfanyavyo hapa JF. Ni wanasiasa, wachambuzi wa mipira, wanasheria, wahandisi etc. kwa kawaida huwezi kuzungumzia masuala ya uhandisi wakati una PhD ya udaktari wa binadamu na pengine speciality yako ni sikio.

Kwa kukuelewesha zaidi mfano ni mimi na wewe. Mimi huwa nakupa tu sijawahi kuliwa kama wewe. Kwa vyovyote vile siwezi kutoa uzoefu wa kuliwa maana sijawahi na sitegemei kutatuliwa marinda yangu. Wewe ulioishatatuliwa una uhuru wa kueleza uzoefu wa utatuliwaji wa marinda.
 
Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters).

KARIBUNI KWA MSAADA

Swala lako Ni sawa Na "sisi tusio Na passport tunaendaje USA?" - Jibu Ni: Huo sio utaratibu.
 
sijauliza tu swali, nimeuliza swali na nimetaka nipatiwe utaratibu gani wa kufata
 
Back
Top Bottom