Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,586
- 7,087
Hapa huwa wanaweka provided una B+ kwenye fani au somo husika.Sio 2.9? Mbona ndo najua hivi? Au mie ndio sijui?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa huwa wanaweka provided una B+ kwenye fani au somo husika.Sio 2.9? Mbona ndo najua hivi? Au mie ndio sijui?
Average grade ya masomo yote iwe BHivi wanaviweka gpa 2.7 OR B grade average wanamaanisha vyote au somo husika uwe na hyo B?
Mshakariri hivi vijana wajinga... pesa rahisi bila maarifa wengi wenu mnaishia kuwa machawa na mapunga siku hiziTafuta pesa ww
IFM nafkiri wanafanya hivyo... ila kasome pale hata postgraduate angalau kisha omba au ujipendekezependekeze kwa wakubwa pale, Kina Registrar, wakuu wa idara, dean, baadhi ya DR's... angalau unaweza kupata pa kuanziaWadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
Poa poa mkuuIFM nafkiri wanafanya hivyo... ila kasome pale hata postgraduate angalau kisha omba au ujipendekezependekeze kwa wakubwa pale, Kina Registrar, wakuu wa idara, dean, baadhi ya DR's... angalau unaweza kupata pa kuanzia
Scholarships utapata tu ndugu yang usijal sababu vigezo huw sio GPA pekee hvy usijal kikubwa uwe vzr zaid Kweny kujitetea linapokuja swala la hizo requirements nyingine Kam Sop, PS , RL na Recommend letter yako then unapata haijalish upate Full Funded au Partial mzeeHabarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters).
KARIBUNI KWA MSAADA
Anapata pataje boss? Unaweza kutoa infor kidogo mkuu ? Maana naona watu wanasema unapata ila hamtoi maelezo kwamba ni Taasisi zipi au vyuo vipi na process zake zipoje ?Scholarships utapata tu ndugu yang usijal sababu vigezo huw sio GPA pekee hvy usijal kikubwa uwe vzr zaid Kweny kujitetea linapokuja swala la hizo requirements nyingine Kam Sop, PS , RL na Recommend letter yako then unapata haijalish upate Full Funded au Partial mzee
Kila chuo kina utaratibu wake nakupa picha ya moja kwa moja upate mwangaza tuAnapata pataje boss? Unaweza kutoa infor kidogo mkuu ? Maana naona watu wanasema unapata ila hamtoi maelezo kwamba ni Taasisi zipi au vyuo vipi na process zake zipoje ?
Poa poa mkuu ngoja nifuatilie aseeKila chuo kina utaratibu wake nakupa picha ya moja kwa moja upate mwangaza tu
Vyuo ving vya bara la Asia huw hawazingatii baadh ya mambo haya Gpa kwhy it's yo tyme kufatilia subir dirisha la Study in India lifunguliwe au kule china ni Kitonga sana utapata mkuu jitahidi kuw mfatiliaji mzuri utapata nakuhakikishia