Lazima usome kwanza postgraduate diploma ili uiboresha hiyo degree yako. Mkiambiwa msome mnakuwa wabishi.Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters).
KARIBUNI KWA MSAADA
Achani kutetea ukilazaNatamani sana, anayeuliza swali apate majibu kuliko kumbeza.
Yapmkuu nikisoma postgraduate diploma ndio nakuwa na sifa ya kusoma masters ?
Mimi ni general educationist, unaponipeleka katika specifics unanionea tu.Napo kuna issue ya GPA? Postgraduate Diploma in Electronics Engineering and Information Technology unaweza kuwa unaijua mkuu?
Amejibu kuwa mtoa mada alikosea na ame edit hilo neno, nao inabidi wafute hio comment ya kumkosoa.Mkuu na mimi nimejikuta nasononeka sana
Sijui mkuu sikuwa wa kwanza kusoma uzi wako inawezekana wao ndio hawaoni vizuri wanamakengeza ila wanadai ume edit.mbona akuna sehemu nilio kosea mkuu
shukrani sana mkuuSijui mkuu sikuwa wa kwanza kusoma uzi wako inawezekana wao ndio hawaoni vizuri wanamakengeza ila wanadai ume edit.
Potezea jikite kwenye ushauri wa tatizo lako, wengine humu kazi yao kumtoa mtu kwenye reli unaweza kuta hawana hata diploma halafu wanaponda GPA ya mtu.
Unaweza kusoma post graduate diploma inayoendana na degree yako mfano wewe ukisoma post graduate diploma in information technology pekee inatosha kabisa kusafisha cheti.Napo kuna issue ya GPA? Postgraduate Diploma in Electronics Engineering and Information Technology unaweza kuwa unaijua mkuu?
Sio 2.9? Mbona ndo najua hivi? Au mie ndio sijui?Kwa sasa kigezo cha kusoma masters ni GPA kuanzia 2.7 degree kwa hapa Tanzania sijajua uko nje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]China wanabeba hata pass.wewe tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahMimi ni general educationist, unaponipeleka katika specifics unanionea tu.
Hukuelewa naona! Binadamu hawezi kujua kila kitu kama nyie mfanyavyo hapa JF. Ni wanasiasa, wachambuzi wa mipira, wanasheria, wahandisi etc. kwa kawaida huwezi kuzungumzia masuala ya uhandisi wakati una PhD ya udaktari wa binadamu na pengine speciality yako ni sikio.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Habarini ndugu zangu, mwenye kujua au mwenye ushuhuda wa uwezekano wa kupata scholarships kusoma nje ya nchi kwa sisi wenye GPA chini ya 2.8, mfano mimi nina GPA ya 2.6 level ya degree, je nawezaje kupata scholarships niweze kusoma Postgraduate degree (Masters).
KARIBUNI KWA MSAADA
sijauliza tu swali, nimeuliza swali na nimetaka nipatiwe utaratibu gani wa kufata