Sisikii hamu ya kula na siumwi chochote, tiba ni nini?

Ukiamka asubuhi kabla hujala chochote chukua glass moja ya maji ya moto changanya na asali vijiko vikubwa viwili au vitatu koroga then kunywa itakusaidia...
Correction :

Asali haipaswi kuchanganywa na maji ya moto ila maji ya uvuguvugu.

Sababu kubwa ni kuzuia mifupa kuvunjika kirahisi

Sababu ya pili ni kuuwa nguvu ya asali.

Kuna namna nyingi za kutengeneza hiyo asali plus vitu vingine
 
Samahani kwa kuchelewa kureply mkuu
But nina miaka 23 urefu wa 5'9
Kiuno no31
Mwanaume kilo 66
Nakula mara1 kwa siku nisipojilazimisha
Mara nyingi inakuwa jioni au usiku wa saa6, tatizo sio kupata chakula tatizo ni ham ya kula
Nilipima kila ki2 niko vizuri
Ila nilivyoenda jeshin nilikuwa nakula sana2
 
Kabla sijakushauri ningependa kujua kama una haja ya kuongeza uzito,kupunguza au kumentaini maana unaweza kutibiwa kukosa hamu ya kula wakati hiyo ndio tiba stahili. Kuna watu wanahangaika na kutumia madawa ghali ili kupunguza hamu ya kula.
Nataka nimaintain 70 maana ndo ideal weight yng
 
Mwanaume nina kilo66 au 67 apo
Sio mwembamba sana
Ila mwili wa kimazoezi
basi unezoesha utumbo hivo...
ni saikolijia tu ukiibadilisha utakula.
mimi zamani nilikua hivo, nilikonda kama mmbwa , nna stress za hovyo hovyo...

mpaka watu walikua wananishangaa, nikaanza kula nikawa nataka unene
niwe na nyama ...
nikajichange
saivi nakula mpaka najiogopa ,kila kinachopita nakula tuu[emoji22][emoji22][emoji22] kwahivo ni saikolojia tu, mind set
 
Tafuta pombe flan inaitwa rechort ukinusa tuu au ukagusa nusu glasi utatafuta jikoo lilipoo upike ulee
 
Ulianzajeanzaje
Yaan uliovercom kiaje??? Apo ndo kunashida ariana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…