KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
- Thread starter
- #41
Umri bado mkuu sahv napanga mambo vzr mpaka nisettle kabisakabisa ndo naoaOa mke wako akikupikia utakula tuu..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri bado mkuu sahv napanga mambo vzr mpaka nisettle kabisakabisa ndo naoaOa mke wako akikupikia utakula tuu..!!
Sasa utapata wapi hamu ya kula wakati Watanzania wenzio Mamilioni wana NJAA kali?Umri bado mkuu sahv napanga mambo vzr mpaka nisettle kabisakabisa ndo naoa
Correction :Ukiamka asubuhi kabla hujala chochote chukua glass moja ya maji ya moto changanya na asali vijiko vikubwa viwili au vitatu koroga then kunywa itakusaidia...
Ninye [emoji117] NileWananishauri ninye vitamin b
Ila wap
Samahani kwa kuchelewa kureply mkuuKwa kuanzia,kama hutajali unaweza kutupatia data zako binafsi za kiafya kama: umri,jinsia, urefu,uzito,kiuno na ulaji wako?
Mara nyingi huwa tunakula na kunywa kwa wingi zaidi ya miili yetu inavyohitaji ndio maana tunakuwa na vitambi, mahips na makalio makubwa. Hio sio afya nzuri hata kidogo ni ugonjwa.
Nataka nimaintain 70 maana ndo ideal weight yngKabla sijakushauri ningependa kujua kama una haja ya kuongeza uzito,kupunguza au kumentaini maana unaweza kutibiwa kukosa hamu ya kula wakati hiyo ndio tiba stahili. Kuna watu wanahangaika na kutumia madawa ghali ili kupunguza hamu ya kula.
Vidonda vya tumbo gharama nyingine broSasa utapata wapi hamu ya kula wakati Watanzania wenzio Mamilioni wana NJAA kali?
Mwanaume nina kilo66 au 67 apowewe ni mwembamba?
mwanammke au mwanaume?
Kiaje mkuuFanya water therapy...
Kiraji ndo nnKata kiraji kimoja lainiii utapata tu hamu Ya nyama choma na kaugali
basi unezoesha utumbo hivo...Mwanaume nina kilo66 au 67 apo
Sio mwembamba sana
Ila mwili wa kimazoezi
Uko toi unaenda kutoa nini Kama hulii?Hainashida mkuu
Insue ni kula
Waga nashangaa m2 akisema anataman ale
Ulianzajeanzajebasi unezoesha utumbo hivo...
ni saikolijia tu ukiibadilisha utakula.
mimi zamani nilikua hivo, nilikonda kama mmbwa , nna stress za hovyo hovyo...
mpaka watu walikua wananishangaa, nikaanza kula nikawa nataka unene
niwe na nyama ...
nikajichange
saivi nakula mpaka najiogopa ,kila kinachopita nakula tuu[emoji22][emoji22][emoji22] kwahivo ni saikolojia tu, mind set
Sio sili kabisaUko toi unaenda kutoa nini Kama hulii?
Ujauzito mwaka wa 5?Inawezekana ikawa ujauzito
Pima keanza mkojo wa mimba kabla hujaangaika sanaa
Mi mvurana mkuuInawezekana ikawa ujauzito
Pima keanza mkojo wa mimba kabla hujaangaika sanaa