SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

Hiyo ndio maana ya Action Movie ni badass action stunts mwanzo mwisho. Ukisikia movie za kiume ndio hizo sasa unakaa chini unacheck movie roho inapenda. Movie inayo resonate na inner masculine nature.

Kama huwezi basi check hollywood movie zilizojaa mafala na mafenist. Na kama ukitaka drama na uhalisia basi nenda kacheck Zahanati Ya Kijiji cinema zetu au ile wanaita Revenge.
 
Kiukweli najuta Sana kuharibu mb 800 zangu... Uongo mwingine wa SISU ni huu hapa..

Mzee SISU anavamia msafara wa wanajeahi wa Nazi bila kujulikana na kuua walinzi kisha anawapa bunduki mademu wanaenda kuua wanajeshi kama vikatuni [emoji1787]

Mzee SISU anapigwa na chuma zaidi ya mara 20 na mwanajeshi wa Nazi lakini hafi [emoji23]

Mengine hata n aibu kuangalia Bora nitazame katuni ya Coco
 
Nadhan hii muvi haina uongo kivlee icpokuwa Ni ufundi tu pia umesema baadhi ya matukio ya kwny Ile ambyo Ni ya uongo ukiweza Rudi Tena kaiangalie Ile muvi then uje tujadili,
Mfno Yule rubani alishambuliwa kwa risasi b4 ndege kuanguka.
Wakati Sisu amenyongwa aligeza ule ubao ikainama then akajichoma na nondo iliyokuwa kwny mbao ili apate balansi ya mwili asife.
Farasi kulipuka then yy asife ilitegemea na uwezo wa bomu husika.
Halikuwa bakuli la bati alilo jikinga nalo Ni Kama mfano wa ngao ngumu.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…