SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

Hiyo ngao aliitoa wapi maana kabla ya kushambuliwa hakua nayo
 
Sani deo yule aliipigia scania teke ikazunguka manyinya zake sani deo..babaake zarimenda alimpiga jamaa kofi la utosi akazama ardhini..
Wahindi ndo mana mkifa mnachomwa moto
Hahahaa... kwa uongo hawajambo.
 
Haiifikii movie inayoitwa Mothers day. Mtu anapigwa ngumi inamrusha juu kichalichali mpaka viatu vyote vinamvuka vizuri akiwa hewani utadhani amechomolewa hivyo viatu!
 
Huo uwongo ndio umefanya movie iwe kali....afu kama hupendi uongo kuna aina za movie za kuangalia,vinginevo ni ushamba kulalamikia uwongo kwenye movie ya action, science fiction movies
 
Ila wazungu wanajua kusupport vyakwao,movie zao nyingi zinakua na +ve review na rate kubwa hata kama movies zakijinga ,movies za watu weusi utakuta nyingine kali ila check rate zao,,,
 
Kuna hii movie ya Cleopatra imefanya vibaya kisa mwanamke aliwekwa ni mweusi na walisababisha hivo ni wamisri, eti wanataka itolewe na wapewe 2b noma
 
Hii movie uongo ulizidi jaman kweli kuna mtu anawez kukaaa ndani ya maji dadkk zaid y 8 afu akanyongwa an usiku mzima amening'inia kwnye kitanzi bila kufa an haiingii akilini kabisa mara ajikinge na risas kwa kutumia mwili wa mtu mwingine na ukiangalia risas iliyotumika mzeeee ni bonge La Silaha oyaaaaaa ni nzuri lakin haina reality
 
Hiyo ngao aliitoa wapi maana kabla ya kushambuliwa hakua nayo
Ukitaka uonyeshwe kila kitu movie itakua na zaidi ya masaa sita....

kama umeangalia kwa makini,kuna wakati Mzee sisu alikua anachimba zak mashimo ya dhahabu lakini akawa anasikia sauti za risasi na mabomu yakilipuka...zile sauti za mabomu maana yake ni wanajeshi waliokuwa wanalipuka kwenye mapigano na ndo uko uko ndo kulikua na mine field

Aya nakurejesha tena,wakati Sisu anapishana na ule msafara,jamaa alitaka kumshoot lakini akakatazwa na kuambiwa kwamba haina haja maana uelekeo anaoenda Sisu ni kama anajipeleka mwenyewe kwenye kifo,maana yake ule msafara ulishatoka uko kufanya maanagmizi na kuwaua watu wote kwenye ayo mapigano, Conclusion ni kwamba yawezekana ile ngao mzee Sisu aliipata kwenye mabaki ya wale watu waliouliwa na ule msafara

Au ulitaka mpaka wakuonyeshe jinsi anavyoiokota iyo ngao ?😅
 
Dah hapo walizingua kumbuka hakujipanga na tukio la hivo coz ni dakika chache akitoka kunusurika kifo cha bomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…