SISU ni movie inayoongoza kwa uongo duniani

Dah hapo walizingua kumbuka hakujipanga na tukio la hivo coz ni dakika chache akitoka kunusurika kifo cha bomu
Nenda kaangalie tena mkuu,mzee alikua tayar kashajua nini afanye

Yaaan mtu anaona kabisa jamaa wanataka kumshoot, anaokota jiwe ili aweze kujiokoa kwa tehnique matata sana
Anatumia jiwe kulenga bomu na bomu linalipuka halafu useme asijiandae na kujikinga risasi?
 
Kwanza nkujuze huyu mzee haitwi sisu mwanzo kabisa movie inapoanza wameeleza maana ya neno sisu kwamba ni courage mtu anayoipata baada ya kupoteza kila kitu ukiitizama kwa namna hiyo Luna jambo utajifunza katika maisha yako ya kila siku ya utafutaji shida sijui mnaangaliaje hizi movie asee
 
Kuna watu mna muda wa kupoteza
Movie za kids hao wa likizo
 
Kwamba risasi zililenga ngao peke yake?

Sent from my Infinix X697 using JamiiForums mobile app
 
Nilivosikia inasifiwa kwenye mitandao ya kijamii nikajua bonge moja la movie nikasema ngoja niipakue, mwisho wa siku niliishia kui-forward ili iishe haraka.
 
Dah hapo walizingua kumbuka hakujipanga na tukio la hivo coz ni dakika chache akitoka kunusurika kifo cha bomu
Movie inaanza Mzee anaosha mawe kwa kutumia Karai ili apate gold!! Hilo Karai analifunga kwenye farasi, baada ya farasi kukanyaga bomu, karai linakua ngao.
 
Chapter three" the legend ..... wame elezea kuwa jamaa aliua 300 Russian soldiers... he is a lone soldier who don't take orders from anybody but himself"
 
Mm naomba anieleweshe mzee sisu kwa nini hakunyongeka pale aliponinginizwa mda wote ule?
 

Kuna watu wanakaa mpk dk 45 mkuu na zaid ya hapo
 
Mm naomba anieleweshe mzee sisu kwa nini hakunyongeka pale aliponinginizwa mda wote ule?

Hio mpk general alimeza mate na kikosi kizima kiliogopa baada ya kuona ile kamba [emoji23][emoji23]afu yule sniper akazidisha kusema ndio hio hio aliitumia kumnyongea [emoji23][emoji23]
 
Na ndio synopsis inasema ivo, Sisu maana yake huyo "old commando " Ali refuse kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…