Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Moral wrong itaendelea kubaki hivyo hivyo atakama inafanyika siriniUnajua maana ya Uovu lakini?
Nimekuuliza swali jepesi, shoga au msagaji wakiwa ndani kwao wanafanya mapenzi yao wewe unadhurika na nini? Au sauti zao zinakulowesha? [emoji38]