Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Mcha Mungu halafu wataka dini yoyote.[emoji50][emoji32]Hujui hatuabudu Mungu mmoja???
 
Uwiiiiii!!! Kwanza nina mnuno wako matataaaa, alafu hata sijakumiss[emoji143][emoji143]
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Huku naogopa ban... Hebu njoo chit chat huko
 
Naona taratibu tunahama sasa, kutoka kutaka nyumba na gari na kazi nzuri....sasa tumefikia huku


taratibu tutafika, ila ikifika vigezo na masharti vimeisha ikabakia "yeyote tuanze naye maisha mapyaπŸ™„" hapa patakuwa patamu sana. Mtaanza kuokoka pamoja, mtaanza biashara pamoja, mtatafuta kazi pamoja, mtaanza kila kitu upyaπŸ˜›, utapata waume fasta sana......

tatizo hivyo vigezo mnavyoviandika mtakuta nyie hamna kabisa😎😎
 
Kwa title tu uliyoandika inaonesha unajisikia sana na huyo mume mtarajiwa ajiandae kusumbuka maana ugomvi kidogo tu ataambiwa "kwanza nilishaweka wazi sitafuti mume...."
 
Kwa title tu uliyoandika inaonesha unajisikia sana na huyo mume mtarajiwa ajiandae kusumbuka maana ugomvi kidogo tu ataambiwa "kwanza nilishaweka wazi sitafuti mume...."
Ila kumbuka mke anatoka kwao na tabia zake na mume anapaswa kushape tabia yake iwe kwenye mwelekeo fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…