Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Mcha Mungu halafu wataka dini yoyote.[emoji50][emoji32]Hujui hatuabudu Mungu mmoja???
 
Uwiiiiii!!! Kwanza nina mnuno wako matataaaa, alafu hata sijakumiss[emoji143][emoji143]
Hahaha hahaha hahaha hahaha
Huku naogopa ban... Hebu njoo chit chat huko
 
Naona taratibu tunahama sasa, kutoka kutaka nyumba na gari na kazi nzuri....sasa tumefikia huku


taratibu tutafika, ila ikifika vigezo na masharti vimeisha ikabakia "yeyote tuanze naye maisha mapya🙄" hapa patakuwa patamu sana. Mtaanza kuokoka pamoja, mtaanza biashara pamoja, mtatafuta kazi pamoja, mtaanza kila kitu upya😛, utapata waume fasta sana......

tatizo hivyo vigezo mnavyoviandika mtakuta nyie hamna kabisa😎😎
 
Ni mwanamke ambae naweza kuishi na familia yangu, najipenda na kujiheshimu,mapenzi yangu makubwa ni kwa mwanaume anae jiheshimu na kujitambua yeye kama mwanaume

Kama una sifa sahii za kuitwa mwanaume unakalibishwa

Umri kuanzia miaka 30 ----40
Dini yoyote
Awe na akili ya kutafuta
Mcha mungu
Mrefu
Pia awe ana chembe za biashara
Awe na upendo na familia yake
Asiwe mweupe

Sikuitaji kuandika vigezo ila nimeambiwa niandike

Karibu inbox
Kwa title tu uliyoandika inaonesha unajisikia sana na huyo mume mtarajiwa ajiandae kusumbuka maana ugomvi kidogo tu ataambiwa "kwanza nilishaweka wazi sitafuti mume...."
 
Kwa title tu uliyoandika inaonesha unajisikia sana na huyo mume mtarajiwa ajiandae kusumbuka maana ugomvi kidogo tu ataambiwa "kwanza nilishaweka wazi sitafuti mume...."
Ila kumbuka mke anatoka kwao na tabia zake na mume anapaswa kushape tabia yake iwe kwenye mwelekeo fulani
 
Back
Top Bottom