Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Ha ha ha ha ni sawa sawa na kuku kaingia jikoni akiwa na manyoya yake....baadaye akatoka jikoni mbioo bila kuwa na manyoya...huko PM kuna nini? bado tu hamjapata?
 
Mie vigezo vyote ninavyo, ila naona kuna vingine nivifanyie amendment kidogo.
(i) Mie ni 5.6ft. So sio mrefu wala mfupi(njoo pm tuyajenge)
(ii)Nimenyimwa urefu wa kwenda juu sana ila kwenda mbele nipo sawa sana(najua umeelewa namaanisha nini, njoo tuyajenge)
 
Babu yangu aliniambia miaka 20 iliyopita kijana usikimbilie mapenzi soma kwanza mapenzi utayakuta na utayakimbia mwenyewe;naona ndoto zimetimia kweli....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…